Wapendwa habari za majukumu.Jamani natafuta tractor MFused Hp isiwe pungufu ya 70.Kama kuna mwenye nalo au anayeweza kunisaidia kulipata nilinunue naomba msaadaTafadhali ni PM.
MANING INTERNATIONAL(T)LTD: tunadeal na uuzaji wa spear parts na uuzaji wa tractors kutoka Europe.
Massey Ferguson 165 Manufactured in England ziko njiani kutoka Austria...zitaingia January mwisho.
Tel: +255 718 796 770