Urgent Warning to All MTN, VODACOM, TIGO AND ZAIN Users.

Urgent Warning to All MTN, VODACOM, TIGO AND ZAIN Users.

Mopao Josee

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
280
Reaction score
1
TAFADHALINI WADAU KUNA MIJIZI YA MUDA WA MAONGEZI
KUWENI MAKINI NA SMS AU CALLS UTAKAZOPOKEA BILA KUMJUA
UNAEWASILIANA NAE NA KUFUATA MAELEKEZO YAKE.
Mfano unaweza sikia wakisema wao ni mafundi wa kampuni husika
na waweza sema bonyeza #09 AU #90 OR OTHERWISE.
PLSE UKIFUATA TU SALIO LAKO WANALITUMIA.
TAFADHALI KUNA MTU KAUMIA.





`Our lives begin to end the day we become silent about things that matter.`
 
sio usie mfahamu tu,hata unaemfahamu so longer as huja plan kumpunguzia mtu salio na akatumia ujanja ujanja na ujinga wako ukastukia umempunguzia salio.definition ya wizi ai exclude watu tunaowafahamu
 
sio usie mfahamu tu,hata unaemfahamu so longer as huja plan kumpunguzia mtu salio na akatumia ujanja ujanja na ujinga wako ukastukia umempunguzia salio.definition ya wizi ai exclude watu tunaowafahamu

Nimeipenda hiyo definition ilivyo INCLUSIVE and,for this matter,wewe huwezi kua kimeo aisee. Lazima utakua unatisha!
 
Duuuh!Lakini hiyo mie naona kama ni mtu mwenyewe utakuwa umejipendekeza.Kwasababu matumizi ya simu yanajulikana;sasa iweje mtu akupigie halafu salio liondoke kwenda kwake na hata kama ni mtu unaemfahamu lazima atajieleza ana shida gani na wewe?Then kuanzia hapo na kuendelea kama kweli akili yako iko timamu lazima utajua huko anakokupeleka siyo!
Anyway,wajinga hawaishi duniani hata kuwe na maendeleo kiasi gani bado wataendelea kuwepo tu.
 
Ukisikia mtu anakupigia anaanza kukuuliza we nani bila yeye kujitambulisha ilhali yeye ndiye aliyekupigia usiendelee na usaili huo. Mara nyingi ukianza kumuuliza yeye ni nani anakata simu! Beware!
 
Mimi nina mawazo tofauti.
Pamoja na kuwalaumu lakini nafikiri kuna haja ya kuwapongeza kwa utambuzi wa hiyo teknlojia kwani itawafanya wenye kampuni za simu kuacha tabia ya kufukuza watu kazi kwani taarifa nilizoazo ni kuwa wale wanaofanya hivyo walikuwa mafundi wa makapuni hiyo naq baada ya kufukuzwa wanaamua kutafuta mbinu za kuishi.

nisieleweke vibaya,hayo ni mawazo yangu
 
wanatoka kwenye mbao sasa wanaamia kwenye simu...kazi kweli kweliaiti wangekuwa viongozi hawa wahuska teeeeeeeeeehhhhteeeeeeeeeeeehhhh
 
Nimepata e-mail inayotoa tahadhari, ingawa mimi binafsi sijawa muhanga na sijashuhudia bado muhanga wa hili:

WARNING

Urgent Warning to All MTN,

VODACOM, TIGO AND ZAIN Users.

If you receive a phone call on your mobile from any person, saying that, he or she is a company Engineer or saying that they're checking your mobile line and you have to press # 90 or #09 or any other number. End this call immediately without pressing any numbers.

There is a fraud company using a device that once you press # 90 or # 09 they can access your "SIM" card and make calls at your expense.

Again if you receive a phone call and your mobile phone displays (XALAN) on the screen Don't answer the call, END THE CALL IMMEDIATELY, if you answer the call, your phone Will be infected with a virus. The virus will erase all IMEI and IMSI information from both your phone and your SIM card, which will make your phone unable to connect with the telephone networks. You will have
to buy a new phone.

This info rmation has been confirmed by manufactures of Motorola and Nokia Phones.

PLEASE PASS ON THIS PIECE OF INFORMATION TO ALL YOUR FRIENDS USING MOBILE PHONES.

Nawasilisha.
 
If you receive a phone call on your mobile from any person, saying that, he or she is a company
Engineer or saying that they’re checking your mobile line and you have to press # 90 or #09
or any other number.

End this call immediately without pressing any numbers.

There is a fraud company using a device that once you press # 90 or # 09 they can access your
“SIM” card and make calls at your expense.

Again if you receive a phone call and your mobile phone displays (XALAN) on the screen
Don’t answer the call, END THE CALL IMMEDIATELY, if you answer the call, your phone
Will be infected with a virus.

The virus will erase all IMEI and IMSI info rmation from both your phone and your SIM card, which
will make your phone unable to connect with the telephone networks. You will have to buy buy a new phone. This info rmation has been confirmed by manufactures of Motorola and Nokia Phones.

PLEASE PASS ON THIS PIECE OF INFORMATION TO
ALL YOUR FRIENDS USING MOBILE PHONES.

NB: PLEASE DON’T JUST COLLECT A COMPLEMENTARY CARD FROM ANYBODY
Especially if you own a car.
 
Asante kwa ujumbe huu watu watumia sana maana wengi hawajui ujumbe huu unafaa uwekwe kwenye sms ili uwahi kusambaaa
 
Mimi nilipata email kuhusu hiyo jumatano, lakini nilipocheck na Zain ambapo email ime originate ilionekana hawana taarifa hiyo......
 
Hivi karibuni nimesikia kupitia kituo kimoja maarufu hapa jijini juu ya utapeli mpya wa kuhamisha salio la simu la mtu mwengine kwa njia haramu.

Issue yenyewe ni hivyi...

Kuna matapeli wameibuka mjini dar es salaam wakiwa na teknolojia ya hali ya juu ya kuwaibia salio lililopo kwenye simu za mikononi. Watu hao hukupigia na kisha kukufahamisha kuwa umejishindia kiasi fulani cha fedha na ili ufanikiwe kuzipata fedha hizo bonyeza * kisha namba fulani e.g 123... kisha reli ili wahifadhi kumbukumbu zako na isitokee mtu mwengine kusema ni wewe... La hasha, unatakiwa kumbe ikifikia hatua hiyo ukate simu kwa sababu ukifuata masharti yao, basi salio lote lililoko kwenye simu yako litahamia kwao....

Je! wadau, hiyo ni kweli??? Kama ni kweli basi kaeni chonjo...

WHEN U C A HUNTER SET A TRAP USING A GOAT AS BAIT, HE DOES NOT EXPECT TO CATCH A RABBIT...
 
Back
Top Bottom