Mmenikumbusha ka itel kangu!! Kalikua kananing'arishajeeee !!
Sasa hivi sii umehamia kwenye Samsung unavimba mwenyewe...hahahaMmenikumbusha ka itel kangu!! Kalikua kananing'arishajeeee !!
Niwe na Samsung nitrambe!!! Kitu infinix hahahSasa sii umehamia kwenye Samsung unavimba mwenyewe...hahaha
maisha ya aina hii nayachukia sana unanunua kitu unauza kwa shidaWakuu habari
Mkuu habari!! Nina changamoto ya kifedha kodi yangu ya nyumba imeisha mwenye nyumba wangu anatishia kunifungia nyumba Usiku huu, nina simu yangu naiuza nilinunua mwezi wa pili mwaka huu infinix hot 60 pro. Bei kama 220k.
Location Banana mawasiliano 0750607844
Afanyeje mkuu,mtu chake.maisha ya aina hii nayachukia sana unanunua kitu unauza kwa shida
babu afanye kazi kwa bidii na kuweka akibaAfanyeje mkuu,mtu chake.
Usidhani kazi hafanyi boss....ametingwa tuu.babu afanye kazi kwa bidii na kuweka akiba