Baba Erick JF-Expert Member Joined Aug 24, 2011 Posts 483 Reaction score 75 Mar 13, 2012 #1 Hi wadau naomba graduate yeyote wa IT ambaye hana kazi na yuko dar anitumie Cv TU kabla ya saa tatu na awe tayari kwenda kwenye interview kuna kampun wanahitaj watu 2 haraka leo hii. Nipm nikutumie email yangu kama kweli unashida.
Hi wadau naomba graduate yeyote wa IT ambaye hana kazi na yuko dar anitumie Cv TU kabla ya saa tatu na awe tayari kwenda kwenye interview kuna kampun wanahitaj watu 2 haraka leo hii. Nipm nikutumie email yangu kama kweli unashida.
bakuza JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 492 Reaction score 104 Mar 13, 2012 #2 tumeona wakati sasa tatu imepita hii
primeguy88 Member Joined Oct 18, 2011 Posts 56 Reaction score 1 Mar 13, 2012 #3 Hellow plz Send me your email nikutumie cv zangu
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Mar 13, 2012 #4 na kuachishwa kazi haitakuwa haraka hivyo hivyo?
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,615 Reaction score 545 Mar 13, 2012 #5 Utingo said: na kuachishwa kazi haitakuwa haraka hivyo hivyo? Click to expand... I like this.... huwa nasemega ni mambo ya zima moto hayo ndio hayanaga utaratibu maalum
Utingo said: na kuachishwa kazi haitakuwa haraka hivyo hivyo? Click to expand... I like this.... huwa nasemega ni mambo ya zima moto hayo ndio hayanaga utaratibu maalum
D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 312 Mar 13, 2012 #6 da aisee nimechelewa....he he he au naweza tupia sasa hivi??