Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka zaidi ya 12 sasa na nimebadilisha kazi mara kibao ila ni sehemu moja tu niliambiwa nibebe mavyeti yangu original. Sehemu nyingi wanataka certified copies, so kama vyeti uliviscan ukavihifadhi unaprint tu unampa mwanasheria anagonga mhuri(unayemjua ili asilazimishe ulete orginal avione). Tuwe na tabia ya kuscan na kuhifadhi kielectronic kila document ya muhimu. Ukweli ni kwamba vyeti kama vya elimu kuanza kufuatilia upewe vingine ni mtihani mkubwa na niliwahi kuskia NECTA hawatoi tena cheti kama umepoteza sijui kama ni kweli.Dear all, naombeni msaada ni hatua gani za kufuata endapo utapoteza vyeti vya taaluma, kuanzia cha kuzaliwa, SCEE, ACSEE na Professional certificates...
Vinahitajika na muajiri
Dear all, naombeni msaada ni hatua gani za kufuata endapo utapoteza vyeti vya taaluma, kuanzia cha kuzaliwa, SCEE, ACSEE na Professional certificates...
Vinahitajika na muajiri
Kama uko Dar kwa vyeti vya NECTA sogea kwenye banda NECTA kwenye maonesho ya Sabasaba. Hapo wanatoa vyeti mbadala.Dear all, naombeni msaada ni hatua gani za kufuata endapo utapoteza vyeti vya taaluma, kuanzia cha kuzaliwa, SCEE, ACSEE na Professional certificates...
Vinahitajika na muajiri
Fanya hivi hapa na wanavyopenda misifa wafuate Sabasaba umeula mpaka watu wa vyuo wapo kule RITA wapo kule ni Wewe tuKama uko Dar kwa vyeti vya NECTA sogea kwenye banda NECTA kwenye maonesho ya Sabasaba. Hapo wanatoa vyeti mbadala.
Kwa vyeti vya chuo nenda chuoni kwako.
Cheti cha kuzaliwa nenda LITA.
KUMBUKA KUPITIA POLISI KWA AJILI YA LOSS REPORT.
hata necta wanatoa duplicate copy ya cheti chako.... m nlipewa baada ya kusubiria ten monthsNectar , hawawezi kupa vyeti og kama walivyo toa , form 4 , 6 au Wala std 7 , ila wanakupa notification of results au something kind like.....ila. Kwa chuo unapewa duplicate certificate aseeeeeeee