Urgently needed: Field research assistants in babati

SUPERUSER

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
960
Reaction score
307
Wanahitajika graduates in any discipline...kazi inahusu kufanya survey na kukusanya data..wawe available full time pia wawe wanaishi babati..ni kazi ya 2-3 weeks...pm me your name and number
 
haya wa babati changamkeni,,,,,kazi naitaka laki mie si mkazi ngoja nipite
 
Me niko dar ila babati ni kwetu, bt naweza kuja ka 2kielewana
 
Mi nimevutiwa nayo pia ingawa c wa baba vp malipo ya kueleweka km yanaeleweka mi njitose
 
Ninashi babati kaka,na nina bachelor of commerce and management,kama vipi tuwasiliane kupitia 0714207779 au 0757031876 tuongee zaidi.
 
Aliposema "uni pm" alimaanisha umwandikie personal message... Poleni sana.
 
Wanahitajika graduates in any discipline...kazi inahusu kufanya survey na kukusanya data..wawe available full time pia wawe wanaishi babati..ni kazi ya 2-3 weeks...pm me your name and number

Yasije yakawa ya synovate kushindwa kulipa researchers mpaka watu wakimbie na data,wekeni mambo hadharani hapa mnalipa sh ngapi?
 
Wanahitajika graduates in any discipline...kazi inahusu kufanya survey na kukusanya data..wawe available full time pia wawe wanaishi babati..ni kazi ya 2-3 weeks...pm me your name and number

i'm ready to do it call me 0763050582

Taja malipoi mzee

0768-616744, 0718-170954 niko bbt

Ninashi babati kaka,na nina bachelor of commerce and management,kama vipi tuwasiliane kupitia 0714207779 au 0757031876 tuongee zaidi.

Jamani jitahidini kufuata maelekezo....hapo kwenye Blue amesema Send Private Msg!!
 
Kazi kiasi gani ili tuone kama italipa kuchukua ndege an kuja huko. Isiwe unyonyaji mamboleo. Sema kwanza unlipa shilingi ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…