Urgently needed Tutor!!

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
kwa aliyesoma B.com in Finance au B.com in Accounting anaweza kunipm kwa more details.

Kama upo Tanga, Moshi au Arusha itakuwa njema zaidi.

Asanten
 
Tindikali...elezea zaidi..habari yako ni nusu nusu...tutor wa chuo gani..aweje..salary!
 
Tindikali...elezea zaidi..habari yako ni nusu nusu...tutor wa chuo gani..aweje..salary!

mkuu mimi ni 3rd part tu, ndo maana nimeomba watu wanipm, sina autority ya kupublish hizo information
 
Siku nyingine kabla hujaandika Tangazo la kazi angalia wenzio wanaandikaje then coppy and paste sio u atuandikia Tangazo utadhan umelazimishwa.
 
Huna lolote we ndo umedhirisha UBONZO wako kwa kuandika tangazo la kazi utafikili matangazo ya WAGANGA wa jadi.
we endelea kukesha humu na utasubiri sana, sikuja kuonesha ubingwa wa kuandika matangazo na sidhani kama kuwa au kutokuwa na lolote kuna msaada wowote kwako. Kama kuandika nilichoandika unadhani ni ubonzo acha tu nikupongeze kwa hilo.
 
Siku nyingine kabla hujaandika Tangazo la kazi angalia wenzio wanaandikaje then coppy and paste sio u atuandikia Tangazo utadhan umelazimishwa.

wenzangu wepi mkuu? Mbona unapenda kuishi kwa kukariri? Kipi ambacho akijaeleweka katika hii thread?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…