Urgently needed

furaha2008

Member
Joined
May 31, 2012
Posts
24
Reaction score
0
Nimepata chuo na ndooo najiandaa kwenda kufanya reg J3 naomba mnijuze ni kwa muda gani bumu nitapata baada ya kufanya registration. Heko kwa wadau wote
 
Je umepata chuo gani? Nenda kafanye usajili, halafu umuulize Afisa/Waziri wa mkopo hayo maswali yako, ukiona hakujibu sahihi, kama unao ubavu, kaulize bodi. Wakati mwingine uweke maelezo sahihi, inakuwa vigumu kupata ushauri ikiwa kama umeandika kama unachati na rafiki zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…