Urgently please!

Urgently please!

mtambo mlay

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Habarini za siku wanajamii fr?naomba msaada kwa yeyote ambaye anamwalimu yeyote anayemfahamu anayefundisha katika shule ya lindi secondary anipatie namba zake na kihororo sec school iliyoko bukoba pia au kama wewe unafundisha katika shule hizi mkuu nifahamishe.kuna machalii zangu wamepangiwa huko kutoka kilimanjaro(moshi).namba zangu +255 (0) 658261309, +255 (0) 758261309.Thanks sana wakuu tuko pamoja
 
HAHAHAHHAAHAH
Hawa jamaaa ni janga kuu
 
Ili iweje? acha madogo waende kusoma wenyewe, usiwalee kama mayai. Kama ni watoto wakike sawa lakini kama ni wakiume acha waende wakapigane kiume.
 
Duh.! Sasa ndio ushtue watu namna hiyo? Mbona akina vasco da gama walikuja huku bila kuuliza mtu?
 
Mbona unapotosha matumizi ya jukwaa la siasa je hili ni jukwaa la siasa?

Back
Top Bottom