Hello wana jamvi (Jamiiforums)
Nime detect hii kitu kwa mara ya kwanza mwaka 2016
Tangia hapo inashuka na kupanda
Nimetumia dawa za hospital
Bado hazileti nafuu
Angalau dawa za mitishamba(kisuna zile)
Naomba ushauri ama altenative kwa wanaojua hii kitu
Badilisha mfumo wako wa maisha hasa katika kipengele cha chakula na vinywaji (ulaji), Don't Drink too much alcohol. Don't drink too much soda or eating too much of foods that contain fructose, a type of sugar.

Pamoja na kubadilisha mwenendo wa maisha kuna dawa niliandikiwa JKCI nilipokwenda kwa matibabu ya moyo ni therapy ya minimum miezi sita .
Leo nimefikisha miezi minne na imeshuka kwa 60%
Dawa ni kidonge kimoja Kila siku inaitwa FEBUXOSTAT TABLETS 40mg
Consult daktari au pharmacist kabla hujatumia kwa dozi ya saizi na ukubwa wa tatizo lako.
Allah Hafez
Hadhari;- ni PRESCRIPTION DRUG