Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake


Good professional advice!
 
Fermi

U.T.I kuna bacteria aina ngapi wanaoweza leta maambukizi?
Ni vigumu au haiwezekani kujua idadi halisi ya bacteria wanaosababisha U.T.I. kwa kuwa hakuna uchunguzi uliofanywa kwa bacteria wote kujua yupi anasababisha U.T.I na yupi hasababishi.Najua umeuliza specifically bacteria lakini pia kuna U.T.I inayosababishwa na fungus etc etc.
Nitakutajia bacteria wachache hapa wanaosabababisha U.T.I. Huyo wa Kwanza E.coli anasababisha 70-95% ya U.T.I
Escherichia coli,Klebsiella pneumonia,Streptococcus spp.,Streptococcus epidemidis,Pseudomonas aeuriginosa,Enterococcus spp.
Kama unahitaji ufafanuzi zaidi usisite kuuliza.
 
Mkojo wa moto(sio muda wote, hauna harufu kali)
Ute ute mweupe unatoka njia ya mkojo(hauna harufu kali)
Sipati maumivu wakat wa kukojoa
Muwasho kidogo chini ya kichwa cha uume wakat wa kukojoa.

Nini hii?
 
Ninamaumivu makali ya kibof asa kipindi napofanya mazoez ya viungo na kukimbia sasa sijajua tatizo nini na Nikita hospital kupima mkojo naambia nina UTI kidogo nikipewa dawa nakunywa nikimaliza naenda kupima bado tatizo haliishi na nimesha tumia dawa kama cpro,dox na sindano cerftiaxon baking bado tatizo lipooo nifanyejeee naomben msaadaaa
 

Nenda kafanye pelvic ultrasound inaweza kua ni cystitis iyo


Sent by iOS
 
Kwani mkuu aliyekupa majibu hakukupa tafsiri au wewe hukumuuliza??
Inshort una UTI kali tu.
 
Pole sana... pata Matibabu sahihi....
Get well soon Mwamba... naamini utapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…