jamani wan JF naombeni msaada kwa hili! nina kaka yangu anasumbuliwa sana na UTI kama kuna mtu anafahamu dawa nzuri anielezee! ameshakunywa sana antibiotics (cipro,cephalexin,celexin etc) lakini wapi inatoka kwa muda then inarudi!
napendelea sana tiba asilia mwenye ujuzi amwage data
Aaah kumbe ndio maan wala sio UTI we tafuta demu piga hvi mwanaume utakaaje mwezi bila kufnya mapenzi kwamb Ni uhaba wa mademu mtaani au hyo ndo inakufanya kuumia kiuno dear mfate dem wako aisee kbla ya show akuchue icho kiuno kwanza akikisha unamwaga zote usibakize alafu ulete mrejeshoM
Mkuu hapana, mi mwenyewe nashangaa nimeipataje mana nina mwezi mmoja sasa sijagegeda
Aiseeee
Oky karbu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari sana!! ila m/me chomeka chomeka kila shimo na m/ke kupigwa mbupu na kila mihogo ndio chanzo cha fangasi/uti zisizokwisha.
kwahiyo unamaanisha fangasi Ni Kama -risiti ya ngono!Hatari sana!! ila m/me chomeka chomeka kila shimo na m/ke kupigwa mbupu na kila mihogo ndio chanzo cha fangasi/uti zisizokwisha.
Ingekuwa vyoo ndio chanzo kikuu cha fangasi nadhani dunia nzima kil mtu angekuwa na fangasi.kwahiyo unamaanisha fangasi Ni Kama -risiti ya ngono!
mbona wengine wanaipata vyooni
Usisahau kwenda kwenye ule uzi wenu kusimulia.We jamaa sijui unanisema mimi. Hapa natoka kuchukua dawa hizi na hata sijui zinasaidia maana nimeelekezwa na muuzaji baada ya kusoma uzi humu.
Nimepata tatizo hili wiki hii. Sijui kama ni kimasihara maana mara ya mwisho ni wiki tatu na nusu zimepita. Lakini kuna dalili unusual kwake niliziona.View attachment 1524999
Huwa nashangaa sana utasikia wanawake wanasingizia vyoo vya public kuwa ndio sababu ila ukweli ni kwamba fungus inatokana na uzembe wa usafi wa mwili na ngono zembe.Ingekuwa vyoo ndio chanzo kikuu cha fangasi nadhani dunia nzima kil mtu angekuwa na fangasi.
Mara ya mwisho kwenda kule ni kabla hata corona haijafika Tanzania.Usisahau kwenda kwenye ule uzi wenu kusimulia.
Mbona zamani haikuwa case miaka hii imezidi. Ina maana wanawake wa zamani huwa walikuwa hawaendi chooni.....?!Chanzo cha fangasi kwa wananawake naona inachangiwa sana na vyoo pamoja na maji wanayotumia kujisafisha baada ya haja.
Na kwa bahati mbaya wanawake huwashwa sana sehemu zao za siri tofauti na sisi wanaume ambapo ni ngumu sana kujua kama fangasi ipo.
Ndio umeandika nini sasa? Unakubaliana na hoja au unapinga?Mbona zamani haikuwa case miaka hii imezidi. Ina maana wanawake wa siku hizi huwa hawaendi chooni.....?!
Nenda tu Katoe ushuhuda kimasihara imekuletea hiyo ugonjwa.Mara ya mwisho kwenda kule ni kabla hata corona haijafika Tanzania.
Nyuzi ambazo sitembelei kabisa ni kula kimasihara, kubeti, mpira na uzi wa likes. Mada za uchawi huwa sigusi kabisa.
Nakaa sana jukwaa la kimataifa na mada zake.
Wale hawataki ushauri wanataka stories za kufanikisha. Kwanza huwezi kwepa hii maana hakuna vipimo vya fangasi mpaka hospitali.Nenda tu Katoe ushuhuda kimasihara imekuletea hiyo ugonjwa.
Huwezi jua utaokoa wangapi.