Divine_lady
Member
- Jul 19, 2021
- 22
- 13
Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti) inaprint majibu hapo hapo, hahitumii muda mwingi ukilinganisha na toleo la zamani. Ni nzuri na imara pia, inapima UTI, mimba na magonjwa mengine ambayo hupimwa kwa kutumia kipimo cha mkojo.
Kwa atakayehitaji tuwasiliane 0624-000771 karibuni.
Kwa atakayehitaji tuwasiliane 0624-000771 karibuni.