Urine Chemistry Analyzer AX-1688 Machine inauzwa

Divine_lady

Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
22
Reaction score
13
Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti) inaprint majibu hapo hapo, hahitumii muda mwingi ukilinganisha na toleo la zamani. Ni nzuri na imara pia, inapima UTI, na magonjwa mengine ambayo hupimwa kwa kutumia kipimo cha mkojo.







 
Urine analyser inapima mimba? Hii ni mara ya kwanza kusikia kama zipo urine analyser zinazopima mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…