Urine pregnant test

Urine pregnant test

minagirl

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
269
Reaction score
35
Habari za asubuhi ndugu zangu;

swali langu ni kama ujauzito umeheriika kipimo cha mkojo cha kupima ujauzito kinaweza kuonesha kwamba ujauzito haupo baada ya siku ngapi?
 
Badala ya kusubiri hizo siku ili upate uthibitisho kwamba ujauzito bado upo au la kwanini usiende/msiende hospitali kuangaliwa haraka iwezekanavyo na kama kwa bahati mbaya ujauzito umeharibika basi hatua muafaka za kusafishwa haraka ziweze kufanyika!?
 
Please nendeni hospitali kwa uchunguzi zaidi. Msije sababisha complication.
 
Badala ya kusubiri hizo siku ili upate uthibitisho kwamba ujauzito bado upo au la kwanini usiende/msiende hospitali kuangaliwa haraka iwezekanavyo na kama kwa bahati mbaya ujauzito umeharibika basi hatua muafaka za kusafishwa haraka ziweze kufanyika!?

mkuu uliharibika kwa bahati mbaya na alipelekwa hospital akasafishwa ila bado anasema anajisikia dalili za ujauzito
 
Hiyo inatokana na hormones zilizokuwa zinalea mimba, hiyo hali itapotea baada ya muda kama mwezi mmoja hivi
 
Hiyo shughuli ya kuhakikisha kwamba bado mjamzito au la si ya kuifanya wenyewe nyumbani. Inabidi mrudi hospitali wakamuangalie tena wataalamu labda hakusafishwa vizuri, kila la heri.

mkuu uliharibika kwa bahati mbaya na alipelekwa hospital akasafishwa ila bado anasema anajisikia dalili za ujauzito
 
Hiyo shughuli ya kuhakikisha kwamba bado mjamzito au la si ya kuifanya wenyewe nyumbani. Inabidi mrudi hospitali wakamuangalie tena wataalamu labda hakusafishwa vizuri, kila la heri.

asante
 
Habari za asubuhi ndugu zangu;

swali langu ni kama ujauzito umeheriika kipimo cha mkojo cha kupima ujauzito kinaweza kuonesha kwamba ujauzito haupo baada ya siku ngapi?

Pole mkuu kwa kula hasara
 
Habari za asubuhi ndugu zangu;

swali langu ni kama ujauzito umeheriika kipimo cha mkojo cha kupima ujauzito kinaweza kuonesha kwamba ujauzito haupo baada ya siku ngapi?
not well understood sir..
 
Hiyo shughuli ya kuhakikisha kwamba bado mjamzito au la si ya kuifanya wenyewe nyumbani. Inabidi mrudi hospitali wakamuangalie tena wataalamu labda hakusafishwa vizuri, kila la heri.

ivi yaweza kutokea mtu akawa hajasafishwa vizuri, anarud hospitali kesho ni jirani yangu tumepanganaye nyumba moja.
 
Back
Top Bottom