Mbunifu 11
Senior Member
- Mar 20, 2015
- 104
- 52
Hivyoeee,yani mimi hapa nina baadhi ya dalili za ujauzito lakini kitu kimesoma negative,na leo ni siku ya 17.Sijaelewa ni nini hasa.Inategemea wengine hata siku 3 tu, kuna binti alijaribu wiki 1 hola, wiki 2 hola, wiki ya 3 hola hadi akajiamini hakuna kitu, loh! wiki ya 4 kitu kikasoma
Hivyoeee,yani mimi hapa nina baadhi ya dalili za ujauzito lakini kitu kimesoma negative,na leo ni siku ya 17.Sijaelewa ni nini hasa.
Asante kwa ushauri mkuu.Kapiga utrasound
Kapiga utrasound
Naomba ushauri wako mkuu ikiwezekana.Teh teh teh . . sijui ni ww au umeazimisha ID yako kweli 17th days utrasound? yaan hata mbegu zilizokufa hazijadondoka zote kitaonekana nn hapo teh teh teh. . . . .
Naomba ushauri wako mkuu ikiwezekana.
Nashukuru sana mkuu,barikiwa.Mbegu hukaa masaa had 72 kama yai lilikua bado. ovulation nayo masaa 72, detaction masaa72, hapa tunaasum kila kitu kimefanyika mwisho wa mda maalum. hivyo una masaa 216 sawa na siku 9hii ndo costant, hapa uhakika. pia inaweza cheza 6-12 days kuwa detacted hii ni wastani. ushauri kifaa kinaweza kuwa kibovu kisitoe majibu sahihi jaribu zaidi ya mara moja na sehem zaidi ya moja.lakini sio utrasound kwani kijusi bado hakionekani.
Hivyoeee,yani mimi hapa nina baadhi ya dalili za ujauzito lakini kitu kimesoma negative,na leo ni siku ya 17.Sijaelewa ni nini hasa.
Nakushukuru mkuu kwa ushauriEndelea kucheki tu kitakwambia, huyo mwenzio alijiaminisha kwamba hakuna kuja kustuka kitu
mchepuko nani?VIPI mchepuko umesema umepima urine ili kutest pregnancy?
Jaman hata mim nilkua najihic mjamzito kwenye tarehe 20 nikapima ckuona kitu lakin mpaka Leo tarehe 31 cjaona cku zng na cku zang ni tar21 je labda niliwah kupima
Inategemea wengine hata siku 3 tu, kuna binti alijaribu wiki 1 hola, wiki 2 hola, wiki ya 3 hola hadi akajiamini hakuna kitu, loh! wiki ya 4 kitu kikasoma
Habari zenu wakuu,
Naomba kufahamishwa hili; Urine Pregnant Test inaweza ku-detect ujauzito wa siku ngapi?
Asanteni.
Kuanzia siku ya 7