Uroho uroho wangu wa nyama leo nimelishwa mbwa

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Asee nisiwachose wala nini, now niko Bush flani hivi uku Iringa kwene harakati za kusaxa msosi wa kila siku

To be honesty mi napenda sana nyama asa leo katika mizunguko yangu kwene harakat zangu nikaingia nyumba moja nlivo na upepo nilifika mda wa lunch nikakaribishwa pale nikajitia kugoma kama mara nne hivi asa maza nae mtata akanipakulia chakula kibabe afu akasema chakula icho apo kama utakua umeamua kunidharau mama ako poa

Mzee mzima nikajivunga kama dakika mbili sina mpango wa kula, nikaona maza kaanza kubadilika sura kama anamaindi flani, nikajisemea ngoja nile kwa kumridhisha yeye, menu ilikua ni ugali na maharagwe afu pembeni nimewekewa vinyango pale havina idadi

Nikaanza kula mdogo mdogo nikala vinyango vyote afu nikavisifia vitamu kiquma nikaona maza anatabasamu kimoyo moyo nikajisemea maza kasharidhika

Nimeondoka pale nikarudi kuwapa story washkaji, mshikaji mmoja akaniambia haaaaah basi ushakula mbwa wewe kimoyo moyo nikamjibu basi kama ile nyama ni ya mbwa kweli basi mbwa mtamu sana siachi kula leo wala kesho

Kama hadi leo hujawai kula nyama ya mbwa pole sana huna haja ya kuendelea kuishi hii dunia, Fanya kutafuta kambwa fasta uone maajabu ya nyama ya mbwa
 
Nyama ya Dog style inafukuza majini, inaongeza mivuto, inaongeza nguvu za kiume, inaongeza bahati, utapata ngekewa na kismati kwa wakati mmoja.
 
Dah....toka nizaliwe sijawahi kusikia mtu kadhurika kwa kula nyama ya mbwa....zaidi ya madhara mengine yanayopatikana kwenye nyama nyingine nyekundu...Kama ng'ombe na mbuzi[emoji2960]
 
Asee nisiwachose wala nini, now niko Bush flani hivi uku Iringa kwene harakati za kusaxa msosi wa kila siku

To be honesty mi napenda sana nyama asa leo katika mizunguko yangu kwene harakat zangu nikaingia nyumba moja nlivo na upepo nilifika mda wa lunch nikakaribishwa pale nikajitia kugoma kama mara nne hivi asa maza nae mtata akanipakulia chakula kibabe afu akasema chakula icho apo kama utakua umeamua kunidharau mama ako poa

Mzee mzima nikajivunga kama dakika mbili sina mpango wa kula, nikaona maza kaanza kubadilika sura kama anamaindi flani, nikajisemea ngoja nile kwa kumridhisha yeye, menu ilikua ni ugali na maharagwe afu pembeni nimewekewa vinyango pale havina idadi

Nikaanza kula mdogo mdogo nikala vinyango vyote afu nikavisifia vitamu kiquma nikaona maza anatabasamu kimoyo moyo nikajisemea maza kasharidhika

Nimeondoka pale nikarudi kuwapa story washkaji, mshikaji mmoja akaniambia haaaaah basi ushakula mbwa wewe kimoyo moyo nikamjibu basi kama ile nyama ni ya mbwa kweli basi mbwa mtamu sana siachi kula leo wala kesho

Kama hadi leo hujawai kula nyama ya mbwa pole sana huna haja ya kuendelea kuishi hii dunia, Fanya kutafuta kambwa fasta uone maajabu ya nyama ya mbwa

Mimi nikadhani kwamba umekula nyama ya mtu!!?, kumbe nyama ya mbwa, tena Iringa!!😁😁---- ungekuwepo Mtwara ungekula "Samaki nchanga", Kigoma ungekula Dagaa na Migebuka, kagera ungekula Nsenene , Tabora na shinyanga ni nyama za ng'ombe ,Mwanza na Mara ni Kamongo na Nyama ya ng'ombe nk, mimi nikupe hongera tu kwa kupewa heshima ya kupewa takrima ya nyama ya dog. 🐅🐅
 
Back
Top Bottom