nusu kaputi
Member
- Feb 1, 2014
- 54
- 122
Tanzania kwa sasa imekuwa ni nchi yenye matukio mengi sana, masuala ya ubakaji, watu kufa au kuugua bila taarifa, Afya kuwa ovyo n.k
Nchii hi msemaji mkuu ni Rais, kwanini usirudi utaratibu Rais wa nchi kuhutubia taifa kila mwezi?
Hii italeta dira ya nchi na taswira nzima na huenda hata matukio yakapungua.