Tanzania Kwa Sasa imekuwa ni nchi yenye matukio mengi sana, swala ubakaji, swala watu kufa au kuugua Bila Taarifa, Maswala ya Afya kuwa ovyo
Nchii hi msemaji Mkuu ni Raisi, Kwanini usirudi utaratibu Raisi wa nchi KUHUTUBIA TAIFA Kila mwezi Hii italeta Dira ya nchi na Taswira nzima na huenda hata matukio yakapungu