mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Iko hivi, ili kumwogopesha urusi asiendelee kutumia makombora yake ya hypersonic missiles kushambulia sehemu nyeti za ukraine, wakaamua kuzua uongo kuwa Patriot air defense imedungua makombora sita ya "hypersonic missiles) ya urusi. Lengo ni kumtisha urusi asiendelee kuyatumia. Urusi ikaamua kumlenga huyo huyo Patriot air defense pale kiev. Halafu ikatangaza kuwa imeshaichakaza. Fasta Ukraine akakanusha.
Ukraine on Wednesday denied claims of Russia destroying a US-made Patriot missile defence system using its hypersonic missile during an air strike on Kyiv.
On Tuesday, the defence ministry of Russia made the assertion after carrying out an overnight air raid on the Ukrainian capital. Later, two US officials said that one Patriot defence system appeared to have suffered damage but it was not destroyed in the attacks.
"I want to say: do not worry about the fate of the Patriot," said Ukrainian air force spokesperson Yuriy Ihnat while speaking on Ukrainian television.
He further denied the possibility of Russia's "Kinzhal" missile destroying a Patriot system.
Marekani wakaona kuwa kukataa kabisa kuwa Patriot system haijashambuliwa na kuharibiwa kutapelekea Urusi kuonesha ushahidi wa video ni itakuwa ni aibu zaidi!! Wakaamua kukubali lakini kwa kudai kuwa "imeharibiwa tu lakini haijateketezwa, na inatengenezeka"
A US-made Patriot missile defence system being used by Ukrainian forces has likely suffered some damage from a Russian air attack but does not appear to have been destroyed, two United States officials told the Reuters news agency.
The reported damage to the US-donated missile defence system follows Russia’s Defence Ministry on Tuesday saying that a Russian hypersonic Kinzhal missile had destroyed a Patriot missile battery in Kyiv.
=========
Sasa wenye akili zao wanaweza kuunganisha hizo dots!! Kama Patriot ina uwezo wa kudungua hiyo kinzhal missile (hypersonic type), kama walivyodai kuzidungua sita, inawezekanaje sasa hiyo hypersonic missile moja tu kufanikiwa kuitoa kamasi hiyo patriot system na kukiri kwao wenyewe kuwa itatakiwa ifanyiwe matengenezo? Tangu hapo hatujawasikia tena wakidai kudungua hypersonic ya mrusi!!
Hata kwa akili ya kawaida tu, inawezekanaje mbweha amfukuze duma na kufanikiwa kumwangamiza? Duma ni mnyama mkali mwenye mbio sana!! Ukisikia kafukuzwa na kuangamizwa na mbweha na usijue kuwa hiyo ni fix ya mwaka utakuwa na matatizo!! Mwendo wa hypersonic missile ni zaidi ya mara tatu ya ule wa makombora ya ulinzi wa anga ya patriot!! Haiwezi kuingia akilini kuwa patriot itafanikiwa kuidungua patrioit. Ukizingatia kuwa hypersonic missile ina uwezo wa kufanya "maneuver" njiani hapo haiwezekani kabisa kuidungua!!