chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
utadhani wewe ndo uliwasainisha hiyo mikata.[emoji23][emoji23],watu wakishiba makande na kuvimbiwa tabu kweli kweli!!Putin ni bogus, hakuna popote ambapo mkataba unaongelea hayo madafu yake for the terms of payment, tayari wamemwambia akaye na gesi yake kuna sources nyingi.
Kuanzia mwakani atatembeza hiyo gesi kama karanga.
Mbona id yako ni jina la kijerumani? Sasa anakoma nani? Nyie wajerumani au kina nani?Mwaka huu mtanyooka tu,,,
Waliokatiwa Gasi wananunua kiasi Kidogo Sana Cha Gasi ya URUSI na hawana athari Kiuchumi kwa URUSI. Mfano,Bulgaria inatumia $ 50M kwa Mwaka kununua Gasi kutoka Russia. Poland inatumia $ 190M kununua Gasi kutoka Urusi kwa Mwaka. Baba lao Ni Ujerumani. Ujerumani inatumia $ 420M kila siku kununua Gasi ya Urusi. Hiki Ni kiasi kikubwa kwa siku moja,Kwa Mwezi pekee Ujerumani anatumia $ 17B kununua Gas ya Urusi.Nadhani kwa hii hatua ya kuwakatia gesi mataifa ya Magharibi watashutuka kidogo na kuanza kufikiria maamzi yao ya kutuma siraha Ukraine mara mbili mbili.
Maana tuseme hawakutegemea Kama Putin angechukua maamzi ya kuwakatia gesi.
Kama walikuwa wanapima upepo wa Putin nahisi Sasa wataanza kuelewa.
Putin alichofanya hapa Ni kuwahi TU ili kuogopa fedheha au kuyagawa mataifa ya Ulaya (Divide and Rule)
IKO HIVI
Mkataba wa Poland kununua Gas Urusi unaisha Mwezi Octoba mwaka 2022. Poland imeweka wazi kuwa Baada ya mkataba kuisha haitanunua Gas kutoka Urusi,badala yake itaanza kufungua mabomba ya Gesi ya Kutoka Norway ambayo yalijengwa tangu mwa 2011. Mabomba hayo yalichelewa kufunguliwa kwasababu ya Gharama nafuu ya Gesi ya Urusi dhidi ya Gas ya Norway. Kwahiyo Kitakachobadilika Huko Poland Ni Gharama za Gasi TU na Wala sio kwamba Wataganda kwa kukosa Gasi Kama ninavyoona wengi wakishadidia.
Kuhusu Bulgaria. Hapa Kuna Kichekesho. Bulgaria inaitegemea Gas ya Urusi kwa 97%,Lakini Gasi hiyo inachangia 11% ya vyanzo Vya Nishati nchini Bulgaria. Kila mwaka,Bulgaria Inaagiza kiasi Cha Gasi Cha 111M m^3 kwa Mwaka. Meli kubwa na kubeba LNG inabeba kiasi Cha Gas Cha 260M m^3. Kwamaana hiyo,Bulgaria akipata Oil Tanker Moja ya LNG kutoka Marekani atatumia miaka 2 bila kuhitaji Gasi nyingine. Hapo Ni Bei TU itabadilika na Wala sio kukosekana kwa Gasi.
MAONI YANGU
Tangu tishio la Urusi kukata Gasi kuelekea Ulaya lianze,Mimi niliamua kufuatilia Umuhimu wa Gas ya Urusi barani Ulaya hasa Kiuchumi. Nimekuja Kugundua kwamba,Nchi ya Ujerumani ndio Mateka wa Urusi linapokuja kwenye suala la Gasi. Ujerumani inatumia kiasi kikubwa Cha Gasi kutoka Urusi kuendesha uchumi wake,na mbaya zaidi Hakuna mbadala wa Gasi hiyo. Kwa maana hiyo,Kama Urusi itakata Gasi yake kuelekea Ujerumani,basi hapo Uchumi wa Ujerumani utaingia RECESSION. Na Kwa kuwa Ujerumani ndio yenye Uchumi mkubwa barani Ulaya,Basi Ni wazi Ulaya nzima itayumba Kiuchumi.
Sasa wanamshtaki nani Na mali za Urusi walishazitaifisha mda tu?Poland imesema hahitaji hiyo gesi ya Urusi
Lakini mkataba ulikuwa kati ya kampuni ya Poland na kampuni ya Urusi
Kampuni ya Poland inayonunua gesi kuuza poland inasema kampuni ya Urusi imevunja mkataba kwa kutoipelekea gesi.Kuiburuza kampuni ya Urusi mahakamani kwa kukiuka mkataba
"Poland's deputy foreign minister said the country could cope without Gazprom's gas and had "taken some decisions many years ago to prepare for such a situation".
Polish state gas company PGNiG, which bought 53% of its gas imports from Gazprom in the first quarter of this year, confirmed that supplies to the country had been halted
It described the suspension as a breach of contract, adding that the company would take steps to reinstate the gas supply."
Sisi wenyewe tumekatiwa huduma na azam tv, na tcra imekaa kimya. Mimi uwa nalipia azamu na channel yangu pendwa ni russia today. Channel namba 240. Azam wameiblock. Niliwapigia simu wanajiuma uma hawana majibu.Poland imesema hahitaji hiyo gesi ya Urusi
Lakini mkataba ulikuwa kati ya kampuni ya Poland na kampuni ya Urusi
Kampuni ya Poland inayonunua gesi kuuza poland inasema kampuni ya Urusi imevunja mkataba kwa kutoipelekea gesi.Kuiburuza kampuni ya Urusi mahakamani kwa kukiuka mkataba
"Poland's deputy foreign minister said the country could cope without Gazprom's gas and had "taken some decisions many years ago to prepare for such a situation".
Polish state gas company PGNiG, which bought 53% of its gas imports from Gazprom in the first quarter of this year, confirmed that supplies to the country had been halted
It described the suspension as a breach of contract, adding that the company would take steps to reinstate the gas supply."
Mkuu Kuna nchi zinatolea udenda hio gas, wakitoa ulaya ipo China, India, Indonesia etc wanaitaka.Waliokatiwa Gasi wananunua kiasi Kidogo Sana Cha Gasi ya URUSI na hawana athari Kiuchumi kwa URUSI. Mfano,Bulgaria inatumia $ 50M kwa Mwaka kununua Gasi kutoka Russia. Poland inatumia $ 190M kununua Gasi kutoka Urusi kwa Mwaka. Baba lao Ni Ujerumani. Ujerumani inatumia $ 420M kila siku kununua Gasi ya Urusi. Hiki Ni kiasi kikubwa kwa siku moja,Kwa Mwezi pekee Ujerumani anatumia $ 17B kununua Gas ya Urusi.
MARK MY WORDS
Siku Urusi akiikatia Gas Ujeremani,Basi Uchumi wa Ulaya yote na Urusi utaporomoka kuliko unavyofikilia. Urusi itapoteza 60% ya Mapato kwenye GDP ,Uchumi wa Ujerumani Utasambaratika na Ulaya yote.
Ndio maaana nasema,Urusi atakata Gasi kote Ulaya lakini sio Ujerumani,MARK MY WORDS.
Unajiaibisha sana Mkuu na Heshima yako humu inashuka. Kiufupi Putin amewapiga chenga moja Kali sana hao wa magharibi.Waeleze Tatizo wanaleta ushabiki
Hata yesu aliambiwa anajiaibisha ni seremala mzuri hivo ajikite kwenye Ufundi Lakin akaendelea kuwapa somo haha sitafti heshima ila nasema kinachopaswa kujulikana kwenu vijanaUnajiaibisha sana Mkuu na Heshima yako humu inashuka. Kiufupi Putin amewapiga chenga moja Kali sana hao wa magharibi.
Leo na Angalia Ruble imeshafika 74.62vs usd. Mwaka Jana muda kama Huu ilikua 74.73 so vikwazo vyooote hivyo wamejipiga wenyewe Ulaya, Uingereza, Spain Na nchi kibao wanaandamana maisha yamepanda, Hela za washirika zinashuka Thamani, Yen ilikua ikijulikana kama Most Stable Currency sasa hivi imekua utopolo tayari.
Biashara baina Ya China na Urusi imeongezeka 30% hivyo vitu vyote vizuri vya Mrusi vinaenda China, na Mrusi Ana Vitu ambavyo ni crucial kwenye Dunia ya Sasa hasa upande wa energy na semiconductor.
Viwanda vingi vinafungwa ulaya Sasa Hivi, Hakuna Energy na Material, mfano Mzuri Volkswagen, Hawa watu itabidi watoke Nje ya Ulaya wakamfaidishe China.
Kiufupi Mkuu the real Winner wa hii Vita ni China na Loser ni Ulaya. Hao Ulaya wamefanywa kama Kimada na USA ila wao ndio wanaangamia.
Punguza pumba hizi.Putin alichofanya hapa Ni kuwahi TU ili kuogopa fedheha au kuyagawa mataifa ya Ulaya (Divide and Rule)
IKO HIVI
Mkataba wa Poland kununua Gas Urusi unaisha Mwezi Octoba mwaka 2022. Poland imeweka wazi kuwa Baada ya mkataba kuisha haitanunua Gas kutoka Urusi,badala yake itaanza kufungua mabomba ya Gesi ya Kutoka Norway ambayo yalijengwa tangu mwa 2011. Mabomba hayo yalichelewa kufunguliwa kwasababu ya Gharama nafuu ya Gesi ya Urusi dhidi ya Gas ya Norway. Kwahiyo Kitakachobadilika Huko Poland Ni Gharama za Gasi TU na Wala sio kwamba Wataganda kwa kukosa Gasi Kama ninavyoona wengi wakishadidia.
Kuhusu Bulgaria. Hapa Kuna Kichekesho. Bulgaria inaitegemea Gas ya Urusi kwa 97%,Lakini Gasi hiyo inachangia 11% ya vyanzo Vya Nishati nchini Bulgaria. Kila mwaka,Bulgaria Inaagiza kiasi Cha Gasi Cha 111M m^3 kwa Mwaka. Meli kubwa na kubeba LNG inabeba kiasi Cha Gas Cha 260M m^3. Kwamaana hiyo,Bulgaria akipata Oil Tanker Moja ya LNG kutoka Marekani atatumia miaka 2 bila kuhitaji Gasi nyingine. Hapo Ni Bei TU itabadilika na Wala sio kukosekana kwa Gasi.
MAONI YANGU
Tangu tishio la Urusi kukata Gasi kuelekea Ulaya lianze,Mimi niliamua kufuatilia Umuhimu wa Gas ya Urusi barani Ulaya hasa Kiuchumi. Nimekuja Kugundua kwamba,Nchi ya Ujerumani ndio Mateka wa Urusi linapokuja kwenye suala la Gasi. Ujerumani inatumia kiasi kikubwa Cha Gasi kutoka Urusi kuendesha uchumi wake,na mbaya zaidi Hakuna mbadala wa Gasi hiyo. Kwa maana hiyo,Kama Urusi itakata Gasi yake kuelekea Ujerumani,basi hapo Uchumi wa Ujerumani utaingia RECESSION. Na Kwa kuwa Ujerumani ndio yenye Uchumi mkubwa barani Ulaya,Basi Ni wazi Ulaya nzima itayumba Kiuchumi.
Poland imesema hahitaji hiyo gesi ya Urusi
Lakini mkataba ulikuwa kati ya kampuni ya Poland na kampuni ya Urusi
Kampuni ya Poland inayonunua gesi kuuza poland inasema kampuni ya Urusi imevunja mkataba kwa kutoipelekea gesi.Kuiburuza kampuni ya Urusi mahakamani kwa kukiuka mkataba
"Poland's deputy foreign minister said the country could cope without Gazprom's gas and had "taken some decisions many years ago to prepare for such a situation".
Polish state gas company PGNiG, which bought 53% of its gas imports from Gazprom in the first quarter of this year, confirmed that supplies to the country had been halted
It described the suspension as a breach of contract, adding that the company would take steps to reinstate the gas supply."
I Feel your pain!
Mbona id yako ni jina la kijerumani? Sasa anakoma nani? Nyie wajerumani au kina nani?
Na hio Gazprom ni ya urusi, unaishitaki vipi?Makampuni ya Urusi mengi yalikuwa ya Magharibi unashitaki vipi ? Kwa mfano Total ya Tanzania ambayo wamiliki wafaransa ina mkataba na Total ya ufaransa kununua mafuta Tanzania na kuyauzia kampuni ingine ya ufaransa.Ufaransa ikasema hainunui mafuta Tanzania utamshitaki nani kwa kuvunja mkataba?
elewa urusi alikuwa hauz direct kwa serikali ya poland bali anafanya biashara na kampuni ya kipoland so kampuni ndo inaishitaki urusi kwa kuvunja mkatabaKwahiyo ata Russia anaweza kuwastaki ambao wamesitisha kununua gas kwao kwasababu siamini kama kulikuwa na kipengele kwamba ikitokea mmeanzisha vita au kuingilia Nchi flani tutaacha kununua gas?