green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Katika kile kinachoonekana ni ukomavu na uwezo mkubwa Kijeshi wa Shirikisho la Russia imepelekea mataifa ya magharibi kuunda shirika la kujihami (NATO) dhidi ya Russia na mataifa mengine yenye nguvu kubwa kama China.
Kutokana na sera za Russia kutokuingilia siasa za mataifa mengine West kwa muda mrefu wamekua wakileta chokochoko dhidi ya Russia lakini Russia imekua ikitoa ilani bila kuchukua hatua yoyote ikiwa pamoja na makubaliano ya NATO kutojipenyeza karibu na mipaka ya Russia lakini West walivunja makubaliano hayo na kufikia hatua ya kuanza kuweka military base Poland karibu na Urusi.
Pia ikaanza kujipenyeza Ukraine na wakati kulikua na makubaliano kati ya Russia na Ukraine kutokaribisha West ndani ya mipaka yake lakini Comedian Zelensk alikiuka mikataba na kuwakaribisha West ndani ya ardhi yake na kuanza kuwauwa raia wenye asili ya Russia toka 2014 hadi sasa ambapo Russia iliamua kuwasaidia nakuivunja vunja Ukraine Kijeshi lengo limefanikiwa kwa 100% kwani Ukraine anategemea msaada wa kila kitu kuanzia chupi mpaka silaha toka kwa wakoloni wao West.
Kinachoogopesha zaidi kwaa muda wote huo Ukraine pamoja na NATO wanapigana na kampuni ya Kijeshi ya Russia Wagner Group na Russia bado hajaingia full scale, level ya Russia ni kupigana West yote na kuigeuza majivu ndani ya muda mfupi.
Sasa kama NATO wanatolewa kamasi na Wagner Group, Marekani akiingia vitani na Russia utakua ndio mwisho wake kaamua kukimbiza mbawa zake anaishia kutuma magobole na bado Wagner Group wanayabutua na kukamata Maeneo..
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app