Urusi inatisha. Mpaka sasa Ukraine na NATO wanapigana na kampuni binafsi ya Kijeshi bado Urusi haijaingia vitani

Naona hiyo kampuni mandonga tu!
Hivi umevaa kata K halafu unatembea mtaa wa mabasha watamuacha??
Muda utasema!
 
Kama anayo busara angeitumia kabla hajawanga kijiji cha wazee wa busara!
Watamkomesha hadi Akome!
 
Mkuu umeandika porojo lote hili? Jeshi la urusi liko wapi sasa? elewa kwamba hao Wagner ni jeshi la kukodi baada ya jeshi la urusi kuuliwa na kushindwa vita, jeshi la urusi lilipomalizika, walipeleka vitani wafungwa, lakini wakapeleka vijana wa kirusi wenye umri wa miaka 18 na zaidi na wengine kutoroka lakini pia wakapeleka Islamic State mamluki kutoka Syria wote wameenda na maji sasa hili kundi la Wagner ndio wanaenda kumaliza biashara ya dikteta Putin muda mduchu sana ujao,

Watu wapo kazini US wanakula mafunzo ya kutumia Patriots, hata hivyo hapo Soleder Urusi maji anaita mma hali ni ngumu sana kwao wanakula kichapo cha nguv sana
 
Unamdanganya nani fala wewe?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Soledar
 
Ha
Hujui hata ulichokiandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…