Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Marekani ikiwa chini ya utawala wa bushi ilipanga kuzipindua serikali 3 kwa wakati mfupi ,huku ikijiamini na silaha nyingi , washirika wengi, akajua kabisa angeipiga Iran, Iraq, na North Korea kwa wakati mmoja, kilichomkuta aliishia kumpiga Iraq tena kwa tabu sana akiwa na washirika wake wengi, baada ya kumpiga Marekani ilifulia sana kiuchumi, yaani iliyumba sana tena sana na licha ya kuwa na uchumi mkubwa na washirika wengi.
Sasa Putin kwa uchumi wake ambao hata haufikii jimbo la Washington, yatakayomkuta sijui, yangu macho, hana washirika, hana uchumi mkubwa, vikwazo amebebeshwa, ni jambo la muda tu maana nimeona juzi wameanza kupitisha bakuli la kuchangia hii operation kwa makampuni yote na siyo ombi ni lazima uchangie.