Urusi vs Ukraine 24 Nov 2024

Urusi vs Ukraine 24 Nov 2024

Joined
Dec 21, 2022
Posts
66
Reaction score
167
Habari Wandugu,
Mbona sioni mada yoyote jinsi Urussi alivyochakazwa na ukraine juzi? 24 Nov 24? Nasikia mpk machuma sijui S400 chakazwa vibaya, kambi ya jesh na top leader wanne wame R.I.P sa hiv wanaenda kupatana na Talebani aaah kweli vita ni mbaya unaweza kula hata Mavi.
Go home Rusia.........inatosha sasa
 
Ipo ya kuuliwa kwa North Korea 8 na majeruhi 33, lile jeshi la mkopo kutoka north korea
 
Namhurumia Sana Putin masaa 72 bado hayajafika kumbuka kilometers 61 + 10 hivi ya zanaza vita ziliishia kusikojulikana ,sa hivi anatisha Nyau watu wazima eti nuke wakati Ukraine naye anayo nuke Hadi Sasa ,hizo S 400 + 500 zinapigwa kila uchaosa hivi ameokota mawe anamtishia Zelensk ,Putin akili kisoda aisee
 
Putin asipouwawa, dunia itaendelea kuwa ni eneo hatarishi la kuishi
 
Ee mtu huliui ulisemalo jeshi la ukraine pamoja na wasaidizi wake liko taaban
 
toka hapa shabiki mandazi mbona mnachakazwa na wasiojulikana mmechukua uamuzi gani,malizeni ya kwenu kwanza
 
Habari Wandugu,
Mbona sioni mada yoyote jinsi Urussi alivyochakazwa na ukraine juzi? 24 Nov 24? Nasikia mpk machuma sijui S400 chakazwa vibaya, kambi ya jesh na top leader wanne wame R.I.P sa hiv wanaenda kupatana na Talebani aaah kweli vita ni mbaya unaweza kula hata Mavi.
Go home Rusia.........inatosha sasa
Kwenye thread yao tumewawekea video za ATACAMS na STORM SHADOW zilivyofanya uharibifu mkubwa pale russia kapitie
 
Back
Top Bottom