Urusi walalamika kwamba USA inachochea Ukraine kushambulia Crimea

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hivi vita vinachekesha, yaani unavamia nchi ya watu halafu unalalamika kwamba usipigwe kwenye baadhi ya maeneo ya hiyo hiyo nchi ya watu....

=================

MOSCOW, Feb 17 (Reuters) - Russia on Friday accused the United States of inciting Ukraine to escalate the war by condoning attacks on Crimea, warning that Washington was now directly involved in the conflict because "crazy people" had dreams of defeating Russia.

Moscow was responding to comments by U.S. Under Secretary of State Victoria Nuland who said the United States considers that Crimea, which Russia annexed from Ukraine in 2014, should be demilitarised at a minimum and that Washington supports Ukrainian attacks on military targets on the peninsula.
 
Kweli ni kichekesho.Kwa sababu kama ni kupigwa basi akupige yule unayepigana nae au akubali kwamba ameshindwa atulie.Sio aje mtu mwengine asaidiane au amchochee yule adui yako dhidi yako.Hapo lazima uje juu na ukapatie na yeye huyo umcharaze ili akome uchochezi.
 
Vita haipiganwi Kama unavyotaka wewe. Kwenye vita huwa hakuna one by one, kila upande lazima upate washirika WA kimya kimya na wengine WA waziwazi. Ndio upande WA Ukraine Kuna nchi za Magharibi huku upande WA Urusi Kuna North Korea, Iran, Beralus, China na Serbia japo ni wengine wapo kwa njia za kificho.
 
Putin wewe tena wa kulalamika
Go and deploy tactically the troops
As you previously said..
It's you against them not him
 
Kweli ni kichekesho.Kwa sababu kama ni kupigwa basi akupige yule unayepigana nae au akubali kwamba ameshindwa atulie.Sio aje mtu mwengine asaidiane au amchochee yule adui yako dhidi yako.Hapo lazima uje juu na ukapatie na yeye huyo umcharaze ili akome uchochezi.

heheh maustadhi mnavyojiliwaza, siku NATO akitia guu pale Urusi itafutika, kwa sasa wacha waendelee kulemazwa na kainchi kadogo jirani hapo.
 
"""Russia warning that Washington was now directly involved in the conflict because "crazy people" had dreams of defeating Russia."""

Hayo maneno yana ashiria kujiamini amavipi.

Maanayake hao US ndio sehemu ya hao vichaa wanao ota kwamba Urusi itapigwa,

Yajayo yata sikitisha sana.
 
Tangu mwanzo amekua akisema Ukraine asipewe msaada, kwamba atafanya kitu, sasa sijui kitu gani atafanya maana jeshi lake linafutwa kama senene na mpaka sasa anagombania kamji ka chumvi.
 
"""Russia warning that Washington was now directly involved in the conflict because "crazy people" had dreams of defeating Russia."""

Hayo maneno yana ashiria kujiamini amavipi.

Maanayake hao US ndio sehemu ya hao vichaa wanao ota kwamba Urusi itapigwa,

Yajayo yata sikitisha sana.
Duh!
 
Back
Top Bottom