Urusi yaanza kuficha ndege zake, yaziondoa Crimea baada ya mapigo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Pale Crimea hapakaliki, milipuko ya ghafla hadi imekua kero, ndege za kivita zinalipuliwa zikiwa uwanjani, Urusi imeona isiwe tabu, yaanza kuzirejesha nyumbani.....
Sikujua supapawa anaweza kuteswa kihivi na kainchi kadogo, vita kweli sio ukubwa wa nchi au wingi wa silaha....

Russia is withdrawing fighter jets from Crimea after multiple suspected Ukrainian attacks, according to a NATO report.

The war between Ukraine and Russia has recently passed the six-month mark with no clear end in sight.

However, according to a Business Insider Germany report that has been translated into English, Russia has already moved 10 of its fighter jets from Crimea back to Russia.

Business Insider Germany has seen the secret NATO report that details the situation.

Crimea, which most countries recognize as Ukrainian but which has been occupied by Russia since 2014, has suffered attacks in recent weeks. Ukraine has hinted that these will continue without claiming responsibility.

The attacks have featured long-range weapons and drones targeting air bases, transport hubs, logistics depots, and command centers. The attacks have caused panic among Russians in Crimea and buoyed Ukrainian confidence.
 
Putin dictator mpuuuzi wa miaka ya 2022

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tukiachana na ushabiki wa Ukraine na Russia Kwa kifupi Russia inajilaumu Sana kwanini alianzisha vita vya kijinga...
Hata kama atafanikiwa kuiteka nchi nzima ya Ukraine bado atapata taabu sana kwenye utawala wake kwasababu kinachoendelea hivisasa ni matendo ya ugaidi ndani ya Russia
 
Hamna cha ugaidi hapo ndugu yangu..Hivi unajua ugaidi unausikia....mtu kulipua sijui kambi ya jeshi, tena katika scale ndogo hivo??Ugaidi utakaotikisa ni pale mtu aingie supermarket moscow pale atandike watu hata kumi....risasi zirindime etc..lkn hii watu wanaendelea kula bata as usual tu..hamna kipya na cha kuogofya....Au fuatilia mambo waliyokuwa wanafanya waasi wa Chechniya
huko Moscow ndo utaelewa..UKRAINE hahafanya tukio lolote la maana ndanibya Urusi yenyewe ambalo limesababisha taharuki
 
Huo ndio wa Macron kwenda kuongea na Putin Moscow, Putin kaishatepeta, japo it is too late USA nae sasa ni kama anafuta sifa. USA amemaanisha kumuaibisha Putin
 
Tukiachana na ushabiki wa Ukraine na Russia Kwa kifupi Russia inajilaumu Sana kwanini alianzisha vita vya kijinga...
Hata kama atafanikiwa kuiteka nchi nzima ya Ukraine bado atapata taabu sana kwenye utawala wake kwasababu kinachoendelea hivisasa ni matendo ya ugaidi ndani ya Russia
Ni kweli mkuu, Ukraine haitakalika endapo akaamua kuiteka kinguvu.
 
Hii habari itakua ya uongo?! Urusi anatoaje ndege zake Crimea wakati ana air defense bora kabisa duniani yaani ikiwekwa hapo Crimea inaona mpaka Ujerumani. Nina mashaka na hii habari

Habari za kutunga tu, si unajua tena Waukraine military ni wabobezi kwenye nyanja za disinformation wakisaidiwa na Intel agencies za Uingereza, Ufaransa na Ujerumani - wameshindwa Putin ndio maana wanakimblia ku-recruit vikundi vikundi vya kufanya hujuma na vikundi vingine vya kueneza kwenye mitandao habari za kutunga tu zenye lengo la kuwakatisha tamaa wanajeshi wa Urusi ambao wako frontline , mfano: Juzi hapa wali onyesha video clip ya kughushi wanayo dai eti ni sauti ya mwanajeshi wa Urusi akifanya mazungumzo na mkewe kwa njia ya cell phone akilalamika kwamba hivi sasa mambo ni magumu kwa jeshi la Urusi hana uhakika kama atarudi nyumbani akiwa mzima - ulaghai mtupu, tangu lini wanajeshi wakiwa mstari wa mbele vitani wakaruhusiwa kubeba cell phone - kama nilivyo sema tangu mwanzo hizo ni sehemu ya disinformation kujaribu ku-demoralize wanajeshi wa Urusi waliyopo mstari wa mbele vitani - wakumbuke Warusi wana umoja sana na uzalendo wa hali ya juuu si rahisi kurubuniwa na propaganda za Ukraine au special forces za magharibi - likija suala la vita Ukraine itashindwa tu hata wapawe misaada lukuki kutoka mataifa ya magharibi ni wazi Putin atawashinda tu.
 
Tukiachana na ushabiki wa Ukraine na Russia Kwa kifupi Russia inajilaumu Sana kwanini alianzisha vita vya kijinga...
Hata kama atafanikiwa kuiteka nchi nzima ya Ukraine bado atapata taabu sana kwenye utawala wake kwasababu kinachoendelea hivisasa ni matendo ya ugaidi ndani ya Russia

Unaongea nini? Hujui unachoongea so kojoa na ukalale- endelea kulipa tozo na makato ya kipuuzi na nchi inayoendeshwa na viongozi wa hovyo
 
Hao hao waliandikaga urusi imeishiwa risasi na makombora...don't trust those idiots
 
Habari za kutunga tu, si unajua tena Waukraine military ni wabobezi kwenye nyanja za disinformation wakisaidiwa na Intel agencies za Uingereza, Ufaransa na Ujerumani - wameshindwa Putin ndio maana wanakimblia ku-recruit vikundi vikundi vya kufanya hujuma na vikundi vingine vya kueneza kwenye mitandao habari za kutunga tu zenye lengo la kuwakatisha tamaa wanajeshi wa Urusi ambao wako frontline , mfano: Juzi hapa wali onyesha video clip ya kughushi wanayo dai eti ni sauti ya mwanajeshi wa Urusi akifanya mazungumzo na mkewe kwa njia ya cell phone akilalamika kwamba hivi sasa mambo ni magumu kwa jeshi la Urusi hana uhakika kama atarudi nyumbani akiwa mzima - ulaghai mtupu, tangu lini wanajeshi wakiwa mstari wa mbele vitani wakaruhusiwa kubeba cell phone - kama nilivyo sema tangu mwanzo hizo ni sehemu ya disinformation kujaribu ku-demoralize wanajeshi wa Urusi waliyopo mstari wa mbele vitani - wakumbuke Warusi wana umoja sana na uzalendo wa hali ya juuu si rahisi kurubuniwa na propaganda za Ukraine au special forces za magharibi - likija suala la vita Ukraine itashindwa tu hata wapawe misaada lukuki kutoka mataifa ya magharibi ni wazi Putin atawashinda tu.
Warusi kila siku wanakufa kama kuku ww unasema propaganda
 
Leta ushahidi - mnafurahisha sana,kwani hukuona video clips za wanajeshi wa kukodi kutoka Uingereza na Canada kwamba tangu waende mstari wa mbele hawajawahi kukutana na wanajeshi wa Urusi ana kwa ana ie "infantry" wanakutana na magari ya kijeshi tu na zana nyingine lakini si askari wanao tembea kwa miguu na walikuwa wana uwawa kama kumbi kumbi kila siku Zelensky anapoteza wanajeshi 600-1000, hata Zelensky mwenyewe aliwahi kukiri ukweli huo.

Sasa kuuwawa kwa wingi wanajeshi wengi wa Ukraine ndio kuliwafanya wanajeshi wa kukodi kutoka Uingereza na Canada kiliwatisha sana na kuwakatisha tamaa ndio maana walihamua kubwaga manyanga wakaondoka Ukraine na kurudi nchini mwao - tafuteni clip hiyo kwenye Utube. Bottom line ni wazi wanao uwawa kwa wingi ni wanajeshi wa Ukraine na mamuluki, na Askari wa Urusi nao wanapoteza maisha lakini si kwa kiwango kinacho semwa na media za magharibi.
 
Back
Top Bottom