Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
... uzi umewekwa hapa toka saa nane pro-Fashisti hawajauona ama? Au ni habari ambayo wasingetamani itokee! Fashisti mnywa damu za wasio na hatia ashindwe duniani na kuzimu.Habar ndiyo hiyo super power kakubali yaishe.
Kakosa yote.Chezea Himas wewe.
KATERYNA TYSHCHENKO – SUNDAY, 4 SEPTEMBER 2022, 22:54
Volodymyr Zelenskyy, the President of Ukraine, shared intelligence that Russian occupiers have already started fleeing Crimea and stated that this was the right decision.
Source: President Zelenskyy’s video address
Quote: "I believe that the Ukrainian flag and freedom will return to Crimea. We will liberate all of our lands and all of our people.
Chanzo Yahoo world news
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji1255][emoji123][emoji123]... uzi umewekwa hapa toka saa nane pro-Fashisti hawajauona ama? Au ni habari ambayo wasingetamani itokee! Fashisti mnywa damu za wasio na hatia ashindwe duniani na kuzimu.
"We will return freedom to Crimea and make the peninsula one of the most comfortable places in Europe - address by the President of Ukraine" - President and Commander-in-Chief of the Ukrainian Defense Forces was quoted as saying!
... hao ndio wanaume! No matter unali-face li-monster likubwa namna gani; la kutisha kuliko shetani; hakuna kukata tamaa wala kuogopa mnapopigania maslahi ya taifa lenu. Baadhi ya wapuuzi humu walishauri Zelensky "akabidhi nchi" kwa Fashisti. Nchi inakabidhiwa kijinga hivyo?[emoji120][emoji120][emoji120][emoji1255][emoji123][emoji123]
Ila makomunisti yana propaganda za kipumbavu hadi yanakera.Tupo tayari Kiev hizo nyingine ni Propaganda tu....na Zelensky huyo ni fake
Na log off Z
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwakuwa wameandika kitu usichopenda kukisikia?Watu mmechanganyikiwa..nyie ndo mnafanya jamii forum ionekane kama facebook tu....Mmeharibu kabisa hii forum....utoto na ushabiki wa kitoto
Kwani unashare humu??Watu mmechanganyikiwa..nyie ndo mnafanya jamii forum ionekane kama facebook tu....Mmeharibu kabisa hii forum....utoto na ushabiki wa kitoto
ExactlyWatu mmechanganyikiwa..nyie ndo mnafanya jamii forum ionekane kama facebook tu....Mmeharibu kabisa hii forum....utoto na ushabiki wa kitoto
Duh...upo dear?!?!Kwakuwa wameandika kitu usichopenda kukisikia?