Urusi yadondosha vipeperushi kwa wakazi wa Kiev, na kuwaonya kuondoka majumbani mwao la sivyo wakabiliane na mashambulizi ya anga

Urusi yadondosha vipeperushi kwa wakazi wa Kiev, na kuwaonya kuondoka majumbani mwao la sivyo wakabiliane na mashambulizi ya anga

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Hizo atacsm zinamfanyia Russia kitu kibaya sana ndio maana ya hasira zote hizo.
 
Moderator inabidi mboreshe mifumo iwe inaweza kuflag post Kama ni fake news, otherwise, mtandao wenu unapoteza maana ya ugreat thinker.

Hivi mtu anashindwaje kuona hizo video kuwa hakuna mtu aliyevaa mavazi ya baridi na wakati huu Ulaya ni winter na kuna hadi snow

Kuna hadi bango la Nasrallah
 
Back
Top Bottom