Vita ilipofikia sasa ni pabaya, Buden anafanya juu chini kuhakikisha mpaka Trump anaingia kule mashariki mwa Ulaya Zelesky ameshinda au ikibudi WW3 imeenza.Mkwara wa mkubw putin 🗳️😐
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂,wewe nuksi sana Mzee!!punda nuksi banaaaPale unapokaa nyuma ya punda halafu ukashika mbupu zake.
utahadithia vizazi na vizazi
Hizi ni picha za Beirut SheikhWanaukumbi.
Urusi yawadondoshea vipeperushi wakazi wa Kiev, na kuwaonya waondoke majumbani mwao la sivyo wakabiliane na mashambulizi ya anga..
===============
⚡️BREAKING Russia drops leaflets on residents of Kiev, warning them to leave their homes or face airstrikes.
View: https://x.com/warfareanalysis/status/1861452471941636366?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hisia zako.Vita ilipofikia sasa ni pabaya, Buden anafanya juu chini kuhakikisha mpaka Trump anaingia kule mashariki mwa Ulaya Zelesky ameshinda au ikibudi WW3 imeenza.
Panaonekana kama masjid ubwabwa kule KisaraweMkuu mbona kuna bango la Nasrallah na watu wamevaa hijab
Kwanza kabla hajakupiga teke anakunya mandazi kwanza.punda ana roho nzuro sana🤣🤣🤣😂😂😂😂😂,wewe nuksi sana Mzee!!punda nuksi banaaa
Hata ukikaa mbele ya punda na ukawa unamgasi anayo meno na mateke pia.Pale unapokaa nyuma ya punda halafu ukashika mbupu zake.
utahadithia vizazi na vizazi