Urusi yaendelea kuishambulia Ukraine, yaipiga makombora majiji/miji 40

Sasa Russia chovu anamtishia nani na WW III wakati Ukraine tu imemshinda. Russia ni nyuki wa mashineni. Bure kabisa.
 
Kiintelejensia Urusi ipo juu zaidi ya Marekani. Usidhani haijulikani. Vipigo vinavyoendelea ni kumjibu US kuwa soon kinanuka hata huko kwao
Intelijisia ipi wakati US akiamua usiingie google haingii sasa Russia anazuia nini
 
Katika ujinga anaosubiria Russia nikudhani marekani atatangaza wazi wazi kwamba Yuko vitan atasubiri Sana kwa tunavyoongea marekani tayari Yuko vitani

Kwenye vita huwezi mpangia aduia Ako aje unavyotaka wewe utafail, vita ni mbinu
Combania ya vijana wa Ukraine iko kambi maalum kujifunza kutumia fighter jets. Kila firering ground ya putin itapigwa
 
Alichobakiza Russia ni kurusha Makombora kwenye makazi ya Raia lakini Vita kwenye frontline vimemshinda. Leo Gavana wa Kherson amewataka Raia wakimbie maana Moto wanaowashiwa na Ukraine sio wa nchi hii. Hapohapo kuna wanajeshi wa Ukraine 10,000 wameshamaliza mafunzo Yao ya kijeshi nchini Uingereza soon wanaingia vitani.

 
Vita vya ardhini vimemshinda ni ngumu sana kushinda kwa vita vya angani
We kweli umelala unafatilia Western ambazo propaganda tu, mrusi kawarudisha nyuma we fatalia habari zingine sio wester news.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…