Urusi yaishambulia meli ya mizigo yenye bendera ya Tanzania. Ilikuwa inatoka Ukraine kwenda Uturuki

Hizo Meli ni gharama sana ikipigwa kama mtu una hela za kuunga unaweza kuzimia
 
Safi sana, 🔥 🔥 .
 
sisi na Russia ni marafiki na mama alikuwa uko mwezi ulipita!, imekuwaje tena.
urafiki gani wa mashaka namna hii..!
 
Putin hakumbuki hata wema wa Samia alivyomtembelea juzi kati?
 
Bahati nzuri si mbegu ni mashudu, vinginevyo mbegu ambazo zingemwagika zingeota kwenye lango hilo.
 
Inasikitsha sana ,yote ya nini? Miaka minne hakuna wanachopata zaidi ya uharibifu tu mali na uhai wa watu.
 
Magufuli alipiga marufu Zanzibar kusajili meli. Lakini Samia alipoingia madarakani akaruhusu sababu haoni shida nchi kuchafuka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…