Russia imemweka Seneta wa Marekani Lindsey Graham kwenye orodha ya mtu anayetafutwa na hii ni kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Russia vikinukuu hifadhi data ya wizara ya mambo ya ndani.
Ofisi ya rais wa Ukraine siku ya Ijumaa ilitoa video iliyohaririwa ya mkutano kati ya Seneta Graham na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ambayo ilionyesha kwanza Seneta huyo akisema, "Warusi wanakufa", na kisha msaada wa Marekani ulikuwa "fedha bora zaidi ambazo tumewahi kutumia", akimaanisha jinsi warussia walivyouawa kwenye vita vyake na Ukraine baada ya Ukraine kupata misaada ya kijeshi kutoka Marekani.
===========
The fight in Bakhmut may be a turning point in the war.
Will the war in Ukraine hinge on Bakhmut? It has been almost one year since the fight for the town began. Now, Russia state media is finally claiming victory in the battle, but Ukrainian military officials say the war may soon turn.
Newly supplied by NATO countries, Ukraine is preparing for a counteroffensive that might strike a territory at the heart of Russia’s interests. As for Bakhmut, which was largely captured by Russian mercenaries with the Wagner Group, they will be withdrawing – leaving the Russian military to take their place. So what’s next for Ukraine?
Aljazeera