tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Wanamuhitaji duniani.Putin
Anacho kisema Putin yupo sahihi kabisa, Zelensky alikuwa anapashwa kuwa umeitisha uchaguzi mpya tangu mwezi wa tano lakini anafanya kila mbinu ili aendelee kubaki madarakani,na anajua wazi kwamba hata akiitisha upigaji kura hawezi kushinda, hivyo anendelea kutoa visingizio kwamba taifa hivi sasa bado lipo vitani kwa hiyo sheria ya Emergency ndio iendelee kutumika mpaka hapo baadae hali ikiwa shwari, mpaka lini?? Mungu ndiye anayejua!!Putin alisema, hawezi kukutana na mtu ambaye muda wa urais wake umeisha ikulu. Akasema, mpaka uchaguzi ufanyike Rais halali apatikane kikatiba nchini Ukraine 🇺🇦 ndio atafanya mzaungumzo maana baadae Ukraine 🇺🇦 itakataa kwamba aliyefanya makubaliano hakuwa Rais kikatiba
Kiakili tu unaongea nini na Zelensky wenye Vita kwasasa wengine sio yeye Zelenksy mwenyewe anaogopa kuuwawa ikiwa ataenda kivingine na wenyevita yao!! Ile Vita ishakuwa kitanzi kwake mwenyewe analidwa na Jeshi la Nato ukizingua wanazingua!!!Ikulu ya Urusi imepuuzilia mbali mazungumzo ya kufanyika kwa mkutano kati ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, licha ya wito uliotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, akihimiza viongozi hao kukutana ili kujadili kumaliza vita nchini Ukraine.
Shinikizo la kufanyika kwa mazungumzo hayo linakuja baada ya Trump kukutana na Putin mjini Alaska wiki iliyopita, na kisha kuwakaribisha viongozi saba wa Ulaya pamoja na Zelensky katika Ikulu ya White House siku ya Jumatatu.
Soma pia: Nchi za Ulaya zazindua mkutano wa kusaidia ujenzi wa Ukraine
View attachment 3446920
Trump alikiri mzozo huo ni "vigumu" kusuluhisha, huku akionya kuwa huenda Rais Putin hakutaka kumaliza uhasama. “Tutajua kuhusu Rais Putin katika wiki kadhaa zijazo. Inawezekana kwamba hataki kufanya makubaliano,” alisema Jumanne. Aidha, aliongeza kuwa Putin anapitia “wakati mgumu” bila kutoa maelezo zaidi.
Siku ya Jumatatu, Putin alimwambia Trump kuwa yuko “sawa” na wazo la mazungumzo ya moja kwa moja na Ukraine, lakini siku iliyofuata Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Lavrov, alilitupilia mbali pendekezo hilo, akisisitiza kuwa mkutano wowote lazima utayarishwe hatua kwa hatua kuanzia ngazi ya wataalam.
Dmitry Polyanskiy, Naibu Mwakilishi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, alikiambia chombo cha habari cha BBC kuwa “hakuna mtu aliyekataa” uwezekano wa mazungumzo ya moja kwa moja, lakini akaonya kuwa “haipaswi kuwa mkutano kwa ajili tu ya mkutano uwe umefanyika.”
Wakati huo huo, taarifa zilidai kwamba Putin alipendekeza kwa Trump kuwa Zelensky asafiri hadi Moscow kwa mazungumzo, pendekezo ambalo Ukraine ilikataa mara moja. Wachambuzi wanasema hatua hiyo inaweza kuwa mbinu ya Urusi kuweka sharti lisilowezekana ambalo Ukraine haiwezi kulikubali.
Sahivi eti Poland nae hataki kupeleka wanajeshi,View attachment 3447519
🇵🇱 Poland has announced that it will not send military to Ukraine, citing the risk of weakening its own armed force and fear of Russia’s retaliation against them.
According to Politico magazine, Warsaw has the largest army in the European Union, but its authorities refuse to compromise its combat capacity. For now, Poland is limited to offering logistical assistance for missions in the east, without direct deployment of troops. 😱😱🇷🇺
Mwanzoni kila siku alikua akiua 2000+ ila kwa sasa wanajeshi wa Ukraine wamepungua mno ndio maana idadi imeshuka 🤣🤣Urusi Kwa Sasa anafanya mauaji ya kimbari Kwa wanajeshi Wa Ukraine.
Hivi jeshi la Urusi wanatumia mbinu/silaha gani kuwauua wanajeshi wengi kiasi hicho wa Ukraine - hii kidogo inashangaza!!Urusi Kwa Sasa anafanya mauaji ya kimbari Kwa wanajeshi Wa Ukraine.
Poland Authority are scared of returning their fellow country men in body bags.View attachment 3447519
🇵🇱 Poland has announced that it will not send military to Ukraine, citing the risk of weakening its own armed force and fear of Russia’s retaliation against them.
According to Politico magazine, Warsaw has the largest army in the European Union, but its authorities refuse to compromise its combat capacity. For now, Poland is limited to offering logistical assistance for missions in the east, without direct deployment of troops. 😱😱🇷🇺
Yes, kweli kabisa, pia ndio maana unaona sasa hivi zelensky antaka kula matapishi yake mwenyewe baada ya kutia saini decree ya kutokufanya mazungumzo na Russia 🇷🇺, ila sasa analilia mazungumzoMwanzoni kila siku alikua akiua 2000+ ila kwa sasa wanajeshi wa Ukraine wamepungua mno ndio maana idadi imeshuka 🤣🤣
Nimegundua pia kiherehere cha Poland 🇵🇱 kimeisha ghafla🤣🤣Zile Kelele za UMOJA WA ULAYA kuiwekea vikwazo vya kiuchumi URUSI,
SAHIVI HAZISIKIKI TENA, wote wamehamia kwenye kuitafuta suluhu😄
Zamani Zelensky alikuwa anakalilishwa na viongozi wa EU na Uingereza specifically Uingereza na Ufatansa nini cha kusema kwenye majadiriano ya kisitisha vita baina ya Ukraine na Urusi, Viongozi hao wa Ulaya walikuwa Wanamvimbisha kichwa kweli kweli Zelensky ndio maana siku moja aliwahi kudriki kumfokea hata Trump, halafu baadae Rais wa Ufaransa (Macron)Yes, kweli kabisa, pia ndio maana unaona sasa hivi zelensky antaka kula matapishi yake mwenyewe baada ya kutia saini decree ya kutokufanya mazungumzo na Russia 🇷🇺, ila sasa analilia mazungumzo