Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema kama kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky anataka kufanya mazungumzo ya kumaliza vita basi aende Moscow.
Jambo hilo linaonekana gumu na lisilowezekana kabsa kwa upande wa Kyiv
Haah..zile B52 hutoa heshima kwa kutikio kubwa kma lile. Ingawa ukweli si salama sana kusafiri ovyo angani. Jamaa wa Ulaya wanamuwinda sana. Yule comedian wa Ukraine anachomoka sana kwa njia za panya kuingia Poland then huyoo.
Next time in Moscow (kwa sauti ya Putin).