Urusi yateka wilaya tatu Ukraine

Urusi yateka wilaya tatu Ukraine

HERY HERNHO

Senior Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
110
Reaction score
458
65356827_803.jpg

Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kuzidhibiti wialya tatu zaidi kwa upande wa magharibi mwa mji mji wa Bakhmu

Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kuzidhibiti wilaya tatu zaidi kwa upande wa magharibi mwa mji mji wa Bakhmut huko Ukraine.Jeshi la Urusi wakati mwingine inayaeleza mashambulizi ya kundi la wapiganaji mamluki kutoka kampuni ya Kirusi ya Wagner kama vikosi vya ushambuliaji.

Vikosi vya Ukraine na Urusi vimekuwa katika makablianao kwa miezi kadhaa katika eneo la mashariki mwa mji huo Bakhmut ambao kwa sehemu kubwa umebaki kuwa magofu.
 
View attachment 2596940
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kuzidhibiti wialya tatu zaidi kwa upande wa magharibi mwa mji mji wa Bakhmu
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kuzidhibiti wilaya tatu zaidi kwa upande wa magharibi mwa mji mji wa Bakhmut huko Ukraine.Jeshi la Urusi wakati mwingine inayaeleza mashambulizi ya kundi la wapiganaji mamluki kutoka kampuni ya Kirusi ya Wagner kama vikosi vya ushambuliaji.Vikosi vya Ukraine na Urusi vimekuwa katika makablianao kwa miezi kadhaa katika eneo la mashariki mwa mji huo Bakhmut ambao kwa sehemu kubwa umebaki kuwa magofu.
tuliambiwa eti west waongo kuwa wao washaiteka tangu muda mrefu , mbona hawa warusi wanatuchanganya , Ukraine walisema kuna mapigano mazito ila teamUrusi wakasema wameshateka tyr huo mkoa wote na bbc, cnn ,etc walikuwa wanaogopa kutangaza ukwel
 
Wilaya sio nchi yote si walisema siku 3 watakua wameichukua inchi nzima.
 
ila uliona sawa nchi kubwa kama Urusi kuivamia Ukraine
Sio sawa kuvamia nchi nyingine hila kwa usalama wa russia ilikuwa lazima avamiwe km usa alivyotaka kuivamia cuba alivyosikia ussr inataka kupeleka makombora kule cuba .
 
Sio sawa kuvamia nchi nyingine hila kwa usalama wa russia ilikuwa lazima avamiwe km usa alivyotaka kuivamia cuba alivyosikia ussr inataka kupeleka makombora kule cuba .
duh kwamba latvia , estonia na sasa Finland sio hatari Kwa Urusi ila Ukraine ambayo haipo NATO ndo hatari ? au Ukraine alikuwa hatari kivip kwa Urusi ?
 
Back
Top Bottom