Urusi yawafukuza Wanadiplomasia 31 kutoka Uholanzi, Ubelgiji na Austria

Urusi yawafukuza Wanadiplomasia 31 kutoka Uholanzi, Ubelgiji na Austria

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Taifa hilo limewataka Wanadiplomasia 31 kutoka Nchi Tatu kuondoka siku kadhaa zijazo. Wizara ya Mambo ya Nje imeagiza Wanadiplomasia 15 wa Uholanzi kuondoka ndani ya siku 14

Agizo hilo pia limetolewa kwa Watumishi wa Ubalozi wa Ubelgiji baada ya Nchi hiyo kuwafukuza Wanadiplomasia 21 wa Urusi Mwezi Machi. Aidha, Wanadiplomasia wanne wa Austria nao wamepewa hadi Jumapili ili kuondoka

Uvamizi wa Urusi Nchini Ukraine umeathiri uhusiano wake na Mataifa mbalimbali

=======

Russia has said it was expelling 31 diplomats from three European countries in a tit-for-tat move

The Russian foreign ministry declared 15 diplomats from the Netherlands “persona non grata” and gave them two weeks to leave. Moscow gave the same deadline to Belgian embassy staff over the country’s decision to expel 21 Russian envoys last month

Belgium’s foreign ministry told the AFP news agency that the measure pinpointed 12 diplomats. Moscow also gave four Austrian diplomats until Sunday to leave

Source: Al Jazeera
 
Ndiyo maana Sisi tulijikalia kimya! Vita vya tembo, nyasi ndiyo zinatumia, hapo ghafla unaambiwa Bambushka Rudi kwenu, wakati ulishazoea Kula BATA na kupiga box!
 
IMG_2789.jpg

Tutafute nauli
 
Back
Top Bottom