MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Urusi imefikia hatua za kuomba usaidizi wa wastaafu maana hali imekua balaa, Ukraine japo kataifa kadogo lakini kamehimili na kupangua mapigo yote, na kama kawaida kwa vita vya muda mrefu huhitaji wanajeshi wapumzishwe ili wengine waje kwenye mapambano, sasa imekua vigumu kuwarejesha nyumbani waliopo, ambao wamejichokea mbaya mno, wengi wanaumwa na kukabiliwa na njaa....
www.pravda.com.ua
Putin is preparing Russian military reserve for war
Russia plans to deploy the military reserve of the Russian Armed Forces in the war against Ukraine.