Mimi nashangaa, wanasema nchi ya Russia eti ina wanajeshi sijui laki nane na walioenda kuvamia Ukraine ni kama laki mbili hivi halafu tunasikia tena kuna wale conscripts (ambao wengine wameshatoroka na kurejea nyumbani), sasa inakuwaje tena wanaomba msaada mara Syria mara Belarus??
Hili jeshi la Russia inaonekana sio ile tuliokuwa tukiadithiwa maanake wamezidiwa kiasi kwamba sasa hivi hata raia kwao ni shabaha halali na miundombinu vile vile hadi wengine wanafikia hatua ya kuuza vifaru na kuomba kupewa uraia nchini Ukraine.
It's mind boggling affair.