Us embassy na vioja vya baadhi ya wafanyakazi

Umejitahidi sana kueleza na mara ya kwanza nilipoanza kusoma niliona unataka kujenga point flan ila mwisho wa cku umeingia chaka MBAYA SANA....Hebu jaribu kusoma tena hiyo thread ya mwenzetu maana huo muda ulipoweka nyekundu haupo, umejitahidi kubumba makosa, binafsi sioni alipotumia AM or PM, katumia saa zote kwa kiswahil, mfano;4 asubuhi..around 11am.... least 15 minutes before time, the interview will last for 1 hrs.....masaa 2....,ipo kuanzia saa 2 asubuhi mpaka 8 mchana.....,saa 5 asubuhi......Baada ya 5 minutes.....ufike saa 4 asubuhi ....saa 4:15 mpaka saa 5: 15 asubuhi...Pengine wewe ndo ukawa una hitaji msaada wa Lugha maana hapo ukitoa hiyo green inayoeleweka piua mm sioni kosa la Sarufi hata kidogo.....Is there any personal Interest au mmepishana mawazo???, SOMA TENA TAFADHALI
 

Mkuu soma posts zake zote kwneye hii thread. Naona umesoma ya mwanzo tuu. Kwa mfano this one:


Sina personal interests na aliyeanzisha thread. What for? Don't event know him. It was my own observation based on his posts. SOMA POSTS ZAKE ZOTE TAFADHALI.
 
Binafsi sioni wapi hapaeleweki coz hata alicho state hiyo thread ya pili kipo kwenye thread ya kwanza,,,assume kuwa ni typing error maana ujue huyu mtu ts obvious kuwa hakuwa kwenye mood nzuri maana maandalizi yote na kutolala ucku akifikiria ahuweni ya maisha atakayoyapata baada ya kupata hiyo kazi ya U S Embassy halafu hakuona hata room ya interview????...kaka hapa c mchezo hasa ukijaribu kuvaa viatu vyake si mchezo
Mkuu soma posts zake zote kwneye hii thread. Naona umesoma ya mwanzo tuu. Kwa mfano this one:



Sina personal interests interests na aliyeanzisha thread. SOMA POSTS ZAKE ZOTE TAFADHALI
 
Ndugu yangu nilishangaa sana

Mimi nafikiri hukuwa shortlisted, na kuna watu walienda interview ila aliyetuma email alikosea ku copy na kupeste email, wenda alikopy email za walio-apply badala ya waliokuwa shortlisted.

Hata hivyo, ukiona hujapata mahala shukuru Mungu yote yatoka kwake.
 
Jamani naomba mumsamehe ubalozini wamemchanganya na yeye kaja kutuchanganya wowowowo
 
Kwanini una-asume ni typing error? Huoni vilevile kuna uwezekano kuwa haelewi kiingereza vizuri? hasa Kwenye mambo ya am na pm?
 
<br />




Great Analysis and am proud to announce u a man/woman who thinks greatly!!!
I think there was a lack of intelligibility btn the two parties!! I hope the American Accent wasnt the problem,nevertheless giving up is not an option!!!
 

Imagine ungekuwa ni complainant officer pale ubalozini au hata at an employment tribunal halafu akuletee malalamiko kama alivyoyaweka hapa, ungeanza kwa ku-make assumptions kuwa ni typing errors, kuwa wakati akiandika hayo malalamiko hakuwa kwenye mood nzuri kwa sababu hakulala usiku akifikiria ahuweni ya maisha atakayoyapata baada ya kupata hiyo kazi n.k? Sio kwamba I don't feel for the guy missing the interview, but to make sure that this should not happen again in future interviews. Hayo mambo huwa yanatokea sana and we need to find out why this happen. Kama haya yanaweza kutokea hata kwenye American embassy vipi kwenye taasisi zetu.

Of course kuna kupeana pole lakini tuishie hapo tuu na kulalamika bila ku-find the root cause of the problem? Instead tubase kwenye everyday things that it was a typing error or alikuwa hayuko kwenye hali nzuri wakati akipost? Did s/he actually sit down and reflect what happned and why? Kwa mfano nilitaka afafanue kama alipoenda ubalozi kuverify tarehe ya interview, aliverify pia muda ambao alipangangiwa interview? Kama ali-verify na kuambiwa kuwa interview itakuwa saa tano na robo asubuhi, wakati it was actually saa nne na robo asubuhi then tutajua tatizo liko wapi.

Kama ali-verify tarehe lakini hakufanya hivyo kwenye muda then tutatujua kama naye alichangia. Baada ya hapo ndio unaweza kusuggest solution what should be done in future. Kama tatizo lilikuwa upande wa ubalozi, then next time akiitwa kwenye interview kwa simu then aombe pia a confirmation through an email or a letter. And, of course, hatutajua nini hasa kilitokea unless we the story of the other side as well. Thats why I am not jumping to assumptions or conclusions. But the guy should not be put off from what happened. Atumie what happened today as a motivation for future interviews.
 
Cheki hiyo nyekundu....
kama interview uliambiwa inaanza saa 2 mpaka saa 8 kwanini hukuenda kabla ya saa 2 asubuhi na ukaamua kwenda saa 5?? I
 
Hiyo red ni lugha gani?, ndiyo American English alitakiwa kuelewa wakati annapigiwa simu????, NAOMBA NITANGAZE KUSHINDWA ILI KUEPUKA MSONGAMANO
 
<br />

Great Analysis and am proud to announce u a man/woman who thinks greatly!!!
I think there was a lack of intelligibility btn the two parties!! I hope the American Accent wasnt the problem,nevertheless giving up is not an option!!!

Mkuu sababu yangu ya kuuliza kama aliyempigia simu alikuwa anaongea accent ya kimarekani au ya kibongo sio kwamba nilitaka kujua kama accent ndio iliyoleta problem. Whether or not was the problem, the interviews details should have been verified when s/he went to the embassy. Nilichotaka kujua ni kwamba kama jamaa alikuwa na accent ya kimarekani halafu intentionally akampa tarehe inayo-contradict na siku ili kum-mislead jamaa, then tungejua haya mambo yamefanywa na wamarekani wenyewe. Lakini kama jamaa alikuwa na accent ya kibongo, na akamislead jamaa intentionally then kunawezekana kukawa na mchezo mbaya unaendeshwa pale ubalozini bila wamarekani wenyewe kujua. My intention was just to try to open some lines of inquiries. This is a very serious problem in Tanzania. Kuna shirika la nje lilifungua branch hapa Bongo, basi wabongo wakacheza mchezo mchafu sana kwenye kuajiri. Watu waliajiriwa kwa kutumia majina, CV na vyeti vya applicants wengine ambao ndio walikuwa wana-meet qualifications.
 
Yawezekana pia unamakosa ya kutokuwa makini, kwani interview yako ya kwanza ndiyo hiyo ya kupigiwa simu na ulionyesha udhaifu wa kutokutambua makosa kwa uharaka na kumsahihisha aliyekupigia simu. Ila usikate tamaa riziki yako ipo tu yawezekana Mungu amekuepusha na inshu za ajabu.
 

Mkuu nimekusoma vyema kabisa, ni kweli kuna makosa fulani katika kuandika, although kwa mtu makini kabisa anaweza ku-link matukio na anapata maana halisi ya nini nilimaanisha, wewe umeweza ku-notice hizo mistakes coz hicho ndicho ulicholenga kufanya. Ndio maana, nikipitia posts zote mpaka nafika hii yako, ni wewe umeweza ku-notice hicho, na hii haimainishi hao waliopitia hii thread hawako makini la hasha. Anyway bado natambua mchango wako(Kwa kifupi sikufanya editing).
Other thing: Unaposema nimejitahidi kubumba makosa, bado sijakuelewa hata kidogo, otherwise una maana iliyojificha sana hapa.
Correction: The first mistake was the date mentioned by the caller, she was a lady na accent yake ni ya kibongo kabisa, kiingereza cha kawaida sana. Tuesday 2nd May and not Tuesday 2nd April, Usaili wangu utaanza saa 5 na robo asubuhi mpaka saa 6 na robo, hilo ni saa moja kama nilivyoeleza, lakini pia (11:15am to 12:15am sijui kama kuna kipi hakieleweki hapa) nijuavyo mimi saa 6 usiku kwa english ni 00:00am otherwise unielimishe tena.
Mtu aliyeulizwa ni the same peronal aliyenipigia simu. Database ilionyesha muda wa interview utaanza saa 8am to 2pm that is what i meant. Uliamua kutokuelewa tu mkuu.
By then: Kumbuka hii si interview yangu ya kwanza, nimefanya kazi nje ya nchi nimefanya mahojiano na pure English people, nimefanya usaili mwingi tu na watu wa mataifa tofauti, haijawahi kutokea kushindwa kuelewa kile nilichoambiwa. Na US Embassy this is my 2nd interview mkuu. There is something wrong, nimewasiliana na watu flan kwa PM wanaelza yaliyo ndani, na hata mimi personally nilipata doubt on my first interview, pale ambapo interviewee ana interact na Human resource/ mtu anayewafanyia interview na picha inaonyesha ni watu wanafahamiana siku nyngi......inaleta mashaka.
 
Kwanini una-asume ni typing error? Huoni vilevile kuna uwezekano kuwa haelewi kiingereza vizuri? hasa Kwenye mambo ya am na pm?
Kuelewa kiingereza vizuri maana yake ni nini. Ni scale ipi unaitumia kujenga hoja yako hapa. Nisaidie plz sijakusoma mkuu
 
Kama nimekusoma vyema, una maanisha huo nao tayari ulikuwa ni mtihani....Ukweli mkuu nipo kwenye game muda mrefu tu wa kutosha, nimeitwa kwa interview kibao na hata zingine zikiwa ni phone conversation na i did well. Iweje leo tu, wakati huo huo nimeshawahi kuitwa na watu hawa hawa nikafanya nao interview?.
Pia iweje wachelewe watu wengine kama mimi waliokuja on the same interview? Walinzi wamethibitisha hilo.
 
Re: Us embassy na vioja vya baadhi ya wafanyakazi

pole sana mwanamapinduzi,
hebu tuanze kufikiria kujiajiri hata kama hatuna mitaji, tujaribu kufikiria utauza nini ili upate chochote na usivunje sheria,
nchi yetu bado mbichi sana
it is better to start from the scruch .
usifikirie mambo makubwa sana . mfano hebu fikiria azam anauza icecream na anapata hela
hata wewe unaweza uza hata samaki, maandazi, hata mapapai au machungwa na ukatoka haya ni mawazo yangu tu. kamayatakukera
nisamehe ila nachukia sana watu wanavyo nyanyasika maana hata mimi nyamenitokea sana. pole sana.
hili ndilo soko holela.
 

Mkuu naoma nikuulize swali. Ulipogundua kuwa tarehe mbili ilikuwa Jumatatu na sio Jumanne ulienda ubalozini. Wakaangalia database yao wakakuta interview yako ilikuwa scheduled Jumanne 3rd May. Pia kama ulivyosema walikuambia kuwa interviews zitakuwa kuanzia saa 2 asubuhi mpaka 8 mchana. Je, uliwauliza interview yako itakuwa saa ngapi? Kama uliwauliza walikujibu itakuwa saa ngapi?

Hapo kwenye red unaposema 11:15am to 12:15am kuna tofauti ya zaidi ya saa moja hapo. Saa 6 usiku kwa English ni 00:00am kama umeset clock kwenye 24-hour format. Lakini kama umeset clock to 12-hour format then saa sita usiku itakuwa 12.00am.
 
Pls mwana mapinduzi,msamehe bure huyo bwana,Heb naomba ni PM na mimi nijue za ndani please ila mda mwingine nisisumbuke mana nakuaga so anxious ku apply sehemu hio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…