Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umesema hapo bro...sports car sasa zina kazi...imagine going at 200km/hr on that road....ila pengine nikukosoe, kuna malori nyingi sana zinatumia the current mombasa nairobi highway so ukisema ndege, sijawahi ona container inabebwa na ndege mimi...pengine abiria...That is when you drive from Dar to Tanga then Tanga to mombasa....from Mombasa you fly to Nairobi because I won't give a shit. ...What is important is preparations of sport car now...
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
HaHaha yani apo mtu unapepea nayo kutoka mombasa hadi nairobi katka speed yakutosha.....hii booming u highway ituepushe na ajali mbali,napenda sana kupepea man...umesema hapo bro...sports car sasa zina kazi...imagine going at 200km/hr on that road....ila pengine nikukosoe, kuna malori nyingi sana zinatumia the current mombasa nairobi highway so ukisema ndege, sijawahi ona container inabebwa na ndege mimi...pengine abiria...
mi naona ntanunua Lamborghini sasa....hehe...pesa ikipatikana..natoka Nairobi asubui 6 by saa mbili niko pwani naogelea kisha narudi kula lunch Nai...nawacha mpaka jamaa wa treniHaHaha yani apo mtu unapepea nayo kutoka mombasa hadi nairobi katka speed yakutosha.....hii booming u highway ituepushe na ajali mbali,napenda sana kupepea man...
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi naona ntanunua Lamborghini sasa....hehe...pesa ikipatikana
lol![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nna jipanga tu gari yoyote itafaa mbona...mbaya ni izo road zinaisha bado huna gari..usiombe[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hahaha what?Yaani Kenya ata mkipaisha rocket sitishiki,.. Coz Kenya inaongoza kwa gap kubwa la poverty kuliko nchi yeyote east Africa,... Kwa iyo umasikin wenu ni rooted kizazi mpaka kizazi,...
Hahaha what?
Mbona machungu bro?
Sibishi nauliza mbona waongea kwa uchunguSasa unabisha ??
usemi wa kipumbavu sana...inahusiana vipi na uzi huu?Yaani Kenya ata mkipaisha rocket sitishiki,.. Coz Kenya inaongoza kwa gap kubwa la poverty kuliko nchi yeyote east Africa,... Kwa iyo umasikin wenu ni rooted kizazi mpaka kizazi,...
Punguza povu, relaxusemi wa kipumbavu sana...inahusiana vipi na uzi huu?
Kumbe ndio maana Mmarekani amemuachia uhuru nchi pamoja na madudu yote ikiwemo kuuliwa kwa IT manager wa Tume plus hzo hackibg. ..always USA anaangalia maslahi yake ajawah kupenda mtu au nchi
Yaani Kenya ata mkipaisha rocket sitishiki,.. Coz Kenya inaongoza kwa gap kubwa la poverty kuliko nchi yeyote east Africa,... Kwa iyo umasikin wenu ni rooted kizazi mpaka kizazi,...