Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
😂😂😂Real madrada hahahah
Nikwasababu ya ujinga wa watz ila kiwango chake wapo wengi tu bongoSakho anapambana sana ase
Kama nani?Nikwasababu ya ujinga wa watz ila kiwango chake wapo wengi tu bongo
We unaangalia mechi gani mkuu?Wanapoteza muda Kichizi
Acha uoga mkuu,tunarudisha na kuongeza.Duuh kasheshe leo kulala mapema
Hana tofauti na Peter Mapunda wa Mbeya cityKama nani?
Akijibu naomba nitag mkuuKama nani?
Yuko fair kabisaIla refa