US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

Tungepata la pili ingependeza hivi vitoto vitafunguka
 
Refa maliza mpira roho inataka kutoka
Mwenzangu umenipa wikiend ya furaha sana kwa comment hii.

imenikumbusha kwenye uchaguzi 2020, jimbo la Pennyslvania lilianza kutangaza kura zinazotoka kwenye ngome ya Trump, hivyo akawa anaongoza. Kura za kwenye ngome ya Biden zilipoanza kuja Trump akalalamika akasema waache kuhesabu kura kwa vile keshashinda !!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…