jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,329 Reaction score 25,263 Jul 2, 2008 #21 Kweli humu ndani kuna watu wabishi. Niliwaambia kuwa MANDELA BADO YUKO kwenye listi na asingeweza kuwalaumu wamarekani kwani kwa sheria wangeweza kumkamata tena. Wao wakawa wanabisha na kudai keshatolewa. Sasa katolewa mara mbili?
Kweli humu ndani kuna watu wabishi. Niliwaambia kuwa MANDELA BADO YUKO kwenye listi na asingeweza kuwalaumu wamarekani kwani kwa sheria wangeweza kumkamata tena. Wao wakawa wanabisha na kudai keshatolewa. Sasa katolewa mara mbili?
NaimaOmari JF-Expert Member Joined Sep 25, 2007 Posts 801 Reaction score 46 Jul 2, 2008 #22 The hell with them .. sons of the devil .... wamwandike Bush instead ...