US judge takes over from Somali judge at the ICJ

US judge takes over from Somali judge at the ICJ

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Yule judge ambaye alikuwa Msomali na pia alikuwa president wa ICJ hatimaye ame-retire. Judge kutoka US amechukua nafasi yake. Somalia ilipeleka Kenya kwenye korti hii ya ICJ kwa madai kwamba Kenya imenyakua kipande cha bahari yake.

Kenya imejaribu kwa muda mrefu kudelay kesi hii ili huyu judge Msomali aretire. Sasa jamaa ameretire. Wacha akwende kabisa. Chances za Kenya kushinda hii kesi imeongezeka mara dufu.

========

US judge takes over at ICJ from Somalia’s Ahmed Yusuf

TUESDAY FEBRUARY 09 2021
ICJ

President of the International Court of Justice, Abdulqawi Ahmed Yusuf (centre), speaks during the ruling on January 23, 2020 in the lawsuit filed by The Gambia against Myanmar, in which Myanmar is accused of genocide against Rohingya Muslims. PHOTO | ROBIN VAN LONKHUIJSEN | ANP | AFP

By AGGREY MUTAMBO
More by this Author

The International Court of Justice (ICJ) on Monday elected American jurist Joan E Donoghue as the new president of the UN judicial organ, bringing to an end the term of Somalia’s Abdulqawi Ahmed Yusuf, who has been at the helm since 2018.

Donoghue, a member of the ICJ since 2010, will be deputised by Russia’s Kirill Gevorgian, who replaces China’s Xue Hanqin, in a 15-judge bench that also includes four other new judges elected last November by the member states of the United Nations.

One of her immediate tasks will be to preside over proceedings of a maritime boundary dispute between Somalia and Kenya, which is due for hearing on March 15 to 17 this year.

Somalia sued Kenya at the ICJ in 2014, seeking to redraw a maritime boundary in the Indian Ocean between the two states from the current south-easterly straight line to an easterly horizontal line. The area in question affects about 100,000km2 of sea in an area believed to have unexploited lucrative hydrocarbons.

Donoghue is also taking over the world court at the time her country, the US, is facing a legal suit by Iran after former president Donald Trump reinstated sanctions against Tehran. In 2018, Iran argued the embargos, which had been lifted in 2015 following a nuclear deal, violates the 1955 Treaty of Amity between Tehran and Washington. The latter had argued the ICJ lacked jurisdiction.

But last week, the ICJ announced that it “finds that it has jurisdiction of the Treaty of Amity, Economic Relations and Consular Rights of 1955 -- to entertain the application filed by the Islamic Republic of Iran on 16 July 2018 and that the said application is admissible.”

Ni ujinga kudhani suala la mgogoro wa Somalia na Kenya halitam-disqualify automatically as far as conflict of interest is concerned kama utaifa wake unavyosema!
 
Ni ujinga kudhani suala la mgogoro wa Somalia na Kenya halitam-disqualify automatically as far as conflict of interest is concerned kama utaifa wake unavyosema!
Tulia mzee, tulikueleza kwamba michezo ambayo inachezwa ni ya ligi nyingine, ya juu zaidi. Jamaa alikuwepo kwenye jopo la pre-trial ya kesi hiyo. Alafu akadai kwamba hatajiondoa na eti atakuwa 'impartial', ila sisi ndio tunawafahamu vizuri hawa jirani zetu Somalia. Kesi tukaisogeza mbele kimikakati tena kwa unjanja, acha aende zake akatizamie show kwa mbali akila pension.
 
Tulia mzee, tulikueleza kwamba michezo ambayo inachezwa ni ya ligi nyingine, ya juu zaidi. Jamaa alikuwepo kwenye jopo la pre-trial ya kesi hiyo. Alafu akadai kwamba hatajiondoa na eti atakuwa 'impartial', ila sisi ndio tunawafahamu vizuri hawa jirani zetu Somalia. Kesi tukaisogeza mbele kimikakati tena kwa unjanja, acha aende zake akatizamie show mbali akila pension.
Ni ukweli. Jamaa aliambiwa ajiondoe lakini akakataa akidai kwamba atakuwa Impartial. Alikuwa anadhani sisi ni mafala.
 
Tulia mzee, tulikueleza kwamba michezo ambayo inachezwa ni ya ligi nyingine, ya juu zaidi. Jamaa alikuwepo kwenye jopo la pre-trial ya kesi hiyo. Alafu akadai kwamba hatajiondoa na eti atakuwa 'impartial', ila sisi ndio tunawafahamu vizuri hawa jirani zetu Somalia. Kesi tukaisogeza mbele kimikakati tena kwa unjanja, acha aende zake akatizamie show kwa mbali akila pension.
Anadhani Wakenya ni mazuzu kama wabongo.
 
Then WTF was the above comment for? If you already know it doesn't concern you, or are you covertly advertising yourself and the sinfull services you offer? 😎
Hata mambo ya kitoto tu mnayaweka hapa. Tuonesheni maendeleo yenu siyo conflict yenu na Somalia. Sasa mnataka tuwasaidie nini!?
 
Hata mambo ya kitoto tu mnayaweka hapa. Tuonesheni maendeleo yenu siyo conflict yenu na Somalia. Sasa mnataka tuwasaidie nini!?
If you don't know have in depth knowledge of the subject matter, how do you get to pass judgement that is a childish? Or should I pass judgement that you're a dumbass even though I don't know you?! These people SMH
 
Hizo sasa ndio athari za 'low everything', low IQ..... low libido... [emoji38]
 
nyie ni mazuzu kweli, somalia wanawapelekesha wanavyotaka na hakuna kitu mnafanya, sio akili wala nguvu wamewazidi.

ona hapa tumaini lenu limebaki kwa jufge mzungu awabebe[emoji3][emoji3][emoji3].
Mbona hawajachukua eneo lenyewe basi? 🤣 🤣 🤣
 
Mmatekani atawasaidia ili alshabab wawagonge na wao marekani wapate sababunya kuweka majeshi yao kwenu.
Ila pia mmesahau kuna panel ya majaji 15 kwa hiyo jaji mkuu hatoi uamuzi wa peke yake
 
Mmatekani atawasaidia ili alshabab wawagonge na wao marekani wapate sababunya kuweka majeshi yao kwenu.
Ila pia mmesahau kuna panel ya majaji 15 kwa hiyo jaji mkuu hatoi uamuzi wa peke yake
Bora Msomali amekwenda sisi hatuna shida na kesi hii.
 
Back
Top Bottom