US Media Campaign to Discredit Iranian Election

Kuna watu humu duniani kazi yao wao kuvuta watu mashati tu.
Hawana jema ndani ya nafsi zao.

Keep it up bros (Mtoto & MwanaFalsafa1 & other wenye ufahamu wa kujadili kwa hikma na ufahamu).
 

Sawa mkuu. I totally see your argument. Woga huu wa nchi za magharibi ndo ulichangia vita baridi na theory ya dominoes effect. Ikafanya watu wengi wapoteze maisha kama Patrice Limumba (Zaire), Che Guvera, nk.

Lakini mkuu hudhani wewe mwanadamu ana silika ya ushindani? Na siasi za ujamaa zinaua huu ushindani wetu? Unaweza kunitajia nchi iliyokuwa na ujamaa bila kuwa na kiongozi mkatili hapo juu? Usisahau kuna kipindi bongo ulikuwa ukimuongelea Nyerere, ujue utatoweka tu!
Sawa mnaweza kusema, katika kufikia hiyo utopian society lazima tupitie kipindi cha kuwa na mtawala mmoja mbabe awaonyeshe watu njia na 'kung'oa' wapinzani. Lakini kukumbuka, Power is Corruptive. Jambo hili lilimkuta Stalin na Mao. Walipokuwa wanaingia madarakani waliahidi mengi, lakini wamekuja kufia katika hayo madaraka baada ya kuleta maafa kwa wengi na kutofika hata nusu njia ya kufika utopia. Hilo mkuu unasemaje juu yake? Utopia ni mbinguni peke yake. Mwanadamu ana silika ya kuwa mshindani sana kiasi huwezi kumwambia kuwa mimi na wewe ni sawa. Kwanza nature yenyewe ina-prove kwamba kila mtu hayuko sawa. Ndo maana watu wengine wamejaliwa vipaji katika michezo, nk. Sasa kama wote tupo sawa, si tungekuwa tuna uwezo sawa. Tuangalie mchwa, kwa maana hii concept ya ujamaa unaweza kusema imetoka kwao. Kwa mchwa yeye, tangu anapozaliwa, hawezi ku-move kwenda juu au chini katika society. Yana kama ni askari, yeye mpaka kufa atakuwa askari. Kama ni malkia, hicho ni mpaka kufa. Na hili ni kweli kwa nyuki pia. Sasa mkuu, sisi wanadamu tunauwezo wa kuwa na fani tofauti. Na fani tofauti zinazawadia mtu kitofauti. Mfano, kwenye mpira Ronaldo anauzika kwa $100mil +, wewe na elimu yako unapata $100,000. Kwa hiyo mimi kama kiumbe mwenye uwezo wa kufikiri ningependa kupata $100mil au sio? Na basi nitatumia juhudi zangu na ushindani wangu kufika hapo. Lakini katika ujamaa, nitaambiwa kwanza tukalime wote. Huoni shida hapo mkuu?
 

Mh., First things first lets make things clear i never said na support socialism all i ever said why it never gained momentum and the challenges it received from countries embracing Capitalism and why it was a mammoth task for it florish.

Unazungumza about dictatorship leaders and their association with socialism, first most countries that practised Ujamaa had just gained independence of some sort either colonial or revolution from their monarchies with exception of few far eastern countries. Pili lazima ukumbuke hizi nchi zilikuwa ni maskini sasa unapolazimisha ambitous projects without the money to fund them how do you aim to achieve ur goals. the answer laid to cheap and sometimes forceful labour to achieve their goals. wakati huo lazima ukumbuke they can not trade their resources outside their countries to gain money. so if you're working people with little pay, tunarudi tena square one people dont see Ujamaa anymore they begin to see inequality within Ujamaa kwanini wengine wasimamie tu nakufadikia wengine tu umie. again the power of people will take over so to make sure the projects continue then udictator ndipo ulipoanza because they never had money coming in and they could not exploit their assets to raise funds as most countries practising Ujamaa where in similar situation to them, dead end na nadhani unajua nyingi imebidi zikubali zenyewe matokeo zilizokuwa na ubishi people power brought changes. swali je iwapo nchi kama russia ingekua imeruhusiwa ku-trade na natural gases assets walizokua nazo ingekuaje, then they could have afforded to pay inside for their ambitous plan on equal terms.

Vile vile kuhusu sharing societies mbona zipo nyingi not on a nation scale but on large communities such as tribe like. mfano wa karibu hapo hapo nyumbani wa haya. ndio not the same as ujamaa, also people boardering china such as the 'Lepcha' outside india live completly by sharing kiasi kwamba mtu akii-twa selfish ana chance kubwa ya kukomit suicide or runaway rather remain there. but since the indians began association and trading with them anthropologist have noted their behaviours beggining to change and the way of seeing things, now they're looking in the eyes of traders perpectives therefore their way of life soon will change (be corrupted). hii tena tunarudi tena kwenye kitu ambacho unasisitiza sana na unajua umuhimu wake exposition of anything idea, culture, different way of life to humans becomes a way of thinking.

lastly kuhusu tofauti za binadamu let me tell you very little difference hipo people are what they are because of their life reinforcement and very little between genes play a part on these issues. sasa usione ronaldo leo anacheza mpira unajua alitolewa kwao kwenda kuishi academy wakati ana miaka mingapi. vilevile usione amenunuliwa kwa hela nyingi ni longterm investement they're thinking winning a champions league alone in a season a club is supposed to return that money, ronaldo anakuja na contact zake ambazo zitaifaidisha timu, yaani baada ya miaka miwili mauzo ya jezi na kadhalika anajilipa, mfano kitendo cha Beckham kuwa Madrid alikuwa anasaidia club kulipa nusu ya mishahara ya wachezaji through his contacts that also benefit madrid, sasa wewe msomi unarudisha nini hasa wakulipe hela hiyo andika kitabu au invent something if you want to lots of money Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna msemo mmoja upo hivi "Yaliopita si Ndwele, tugange yajao"

Maana yake ni kwamba, yalio pita si kidonda, (yalio pita yeshapita), tuangalie hayo yalioko mbele yetu.

Tunachotakiwa kwa sasa hivi ni kuwa na mipango endelevu ya kuwakwamua makabwela (walala hoi), kutoka kwenye lindi la umaskini.

Je Watanzania milioni 40, hakuna watu wenye kuweza kutoa mingozo ya kimaendeleo, kila Mtanzania akafahidika?

Kuna haja kubwa sana ya kuangalia mwelekeo wa uchumi wetu, Mfumo wa elimu, jinsi ya matumizi ya pato la taifa, na mengine meeeengi.

Mimi siamini kwamba tutashindwa, naweza nisiwe mimi lakini wapo wachumi walio bobea, wataalamu wa kila fani. Kiasi wakitumiwa vizuri wanaweza kwa njia moja ama nyingine kutusogeza japo nusu hatua.
 

You are right all that the mwananchi wants is access to basic needs. It's not like the people are asking to be like the U.S.A. or anything. It's true that the government can't hand people millions of shillings. There will always be the rich and the poor. Lakini as long as the average mwananchi knows that he can get his family a dailly meal, if he can give his children a good education and if he can have access to a good health care then the rest a just bonuses. The problem with our government is the dependence of foreign aid. Foreign aid usually just leads to an increase in national debt because they end up paying for this aid one way or another. It is not impossible to develop because others have done it. Sure it's harder for the poor to become rich but it is possible.

I believe the best way for us to develop is education. It is because the majority of Tanzanians don't have education that is why the governments plays as like puppets. If I was to become a president(wishful thinking) this is what I will do:

1.Elimu ya msingi isiwe la saba elimu ya msingi iwe form four. Kwa maana hiyo kila mtoto ahakikishiwa walau kufika form four. Siku hizi hata serikalini minimum requirement ni O Level sasa whats the point ya watu kuishia la saba? this means you will have huge number of people leaving school at standard seven after which they don't have many options yani inakua ili mradi mkono uende kimywani.

2.Katika secta ya afya ninge jenga mazingira ya kushawishi watu zaidi wamiliki hospitali binafis. Hii ita punguzia mzigo wa serikali kujenga hospitali nyingi na pesa hizo zinaweza kutumika pengine. What I will do is create an organ to govern all hospitals ziwe za serikali au binafsi so that there is a standardized health care system.

3.Matumizi yote yasiyo ya lazima ya serikali yapunguzwe. This is pamoja na kufuta vyeo vyote ambavyo havi fanyi chochote zaidi ya kupeana tu kirafiki. Mikoa geographically nita ziacha hivyo hivyo lakini administratively nita ziunganisha mfano Kilimanjaro na Arusha zinakuwa na mkuu wa mkoa moja na local government moja. Serikali itakuwa na wizara 15 tu. Idaidi ya wabunge nayo ipunguzwe tuna wabunge wengi wasiyo wa lazima. na huu ubunge sijui wa vijana au wakuteuliwa vyote nonsense. To be held accountable lazima uchaguliwe na wananchi.

This is just a few ideas ofcoarse there are more and I have just summarised these points because at the time being I'm multi tasking between school work and JF. Kama una any suggestions toa. Kama una maswali uliza.
 

Okay...nimependa hii sentensi yako: "people dont see Ujamaa anymore they begin to see inequality within Ujamaa".

Lakini mkuu, ume-support argument yako kwa kusema nchi nyingi zilikuwa changa, na hazikuwa na pesa. Pesa ni commodity inayotumiwa na macapitalists. Kwa hiyo popote pale utakapohitaji pesa, huoni tayari unaipa capitalism an advantage? Kwa kuangalia mifano yako uliyotoa, ujamaa unafanya kazi vizuri katika small scale communities, ambazo hazitegemei pesa ku-survive. Katika national level, ambapo govt lazima i-provide vitu kama umeme, maji, nk in large scale, huoni mfumo wa ujamaa unaingia katika matatizo, kwa maana hapo lazima uhitaji pesa kutoa hizo huduma?
Hivyo ujamaa ungeweza kufanya kazi kama watu wangekuwa wanatumia butter trade. Na hii inaleta tatizo community inapozidi a certain population size, maana hapo unahitaji specialisation, nk. Sasa daktari ambaye hana kitu kingine cha kunilipa, isipokuwa ujuzi wake, ataweza kujimudu? Value ya service (matibatu) yake kwa mkulima itakuwa na thamani gan? debe la mahindi au? Nadhani once you put money into the equation, basi, capitalism lazima i-flourish na kuua ujamaa.

Mwisho kabisa, ningependa kusema tofauti ya watu ni kubwa sana. Wewe na Ronaldo hata kama tungewapa matunzi yaliyo exactly the same, yeye angeishia kuwa mchezaji bora kuliko wewe. Hii ndo maana hata madarasani watu wana uwezo tofauti. Kwani mtihani na kwenda darasani si mnaenda pamoja, mbona mmoja anapata 90% na mwingine 50%? We are not equal. Mtu asikae akakudanganya hilo hata siku moja.
 
to the future president

first congratulations on your future goals, on the opening day of disney park, the founder walt disney was not alive to witness the day. he was dead by then. when his younger brother was asked its a magical place, so wonderful and it could bring a lot of hapiness to families both kids and the parents, its a shame walt is not here to witness the final dream. the brother replied no its not a shame at all walt saw it first on his dreams he aimed to create the dream that was in his head. though fate did not permit him to see the final product, but it was he who saw the disney park first. so never doubt your wishful thinking.

now to the policies you proposed, though quickly but you made them open to scrutany of the public if im correct.

1. kuhusu elimu mtu yeyote ambae atabisha hili suala ni muhumu ktk jamii kwa upande wangu amna sababu ya kuendelea kubishana nae. however you seem to think lower education alone is needed much more than higher education. first we have to understand there are going to be many people who are not going to use the system regardless how free it is. then how do you reach these people. second we need teachers to teach students, as the levels go higher the more qualified they need to be. under the current market many prefer to give their skills to private sector in an aim to improve their standard of life as the government pay is just not enough in comparison to their competitors. third to develope a country we need more higher educated individuals than the level of education you proposed, we need more doctors, social scientist, econimists, bussiness, enterpreneurs, skillful bankers, agricultural scientist in short we need many proffesional qualificitions to meet the demand of the country.
without moving from this argument at the same time those few we have or had we are losing them to outside universities mainly Canada wich is taking a lot of our Proffessors and doctors because the government as no use with them and those few remaining you know they prefer politics to their proffesion because there is no reward in their sectors of employment. so responsibilty needs to be taken when you become the president and i hope you have enough reasons to need to your educated mass because once you have too many educated people even at the lever of form four trust me peole are not going to withstand and ignore things that are done with the current administration.

2. second solution yako ya kutatua matatizo ya Afya private sector uta encourage ichangie on that sector to ease the government pain of building many hospitals, ok based on your own post. ulikua sijui unakubaliana na post ya nani kusema kwamba an average man only needs access to basic needs na afya yake ni kitu ambacho ni muhimu katika maisha yake nakubaliana na wewe hapo. now lets look at this argument first who is an average man in the country of 40m(according to your sources) with that no. of people where it is estimated between 70 to 80 percent are in poverty. lets go with the middle percent just to justify the argument. in a country of 40m, and 75% in poverty who needs the government to provide them with a system that would enable them to meet the demands you have mentioned in your post. that is a ratio of 3:1 or 30m people to 10m million people. haya first of all at the moment not all those 10m million who are not considered poor can afford private hospital bills. sasa kuna faida gani ya ku-increase this sector au unasahau kwamba private means offering better quality at a costly bill. again unataka kukimbia responsibility mh., or labda you got carried away and forgot we need realistic views what needs to be done and not what we think should be done.

3. nakubaliana na sehemu ya kwanza ya argument hii uncessary spending have to go beginning with scrapping the id which they are proposing at the moment mambo ya kuiga na idea zingine zozote ambazo azisaidii jamii wala aziboreshi uduma. second i do not know about shughuli za wakuu wa mikoa but kupunguza wabunge in my opinion is not a solution matter of fact it will be big mistake. kwanza in a democracy we need challengers to the administration kitendo cha kupunguza wabunge ni kupunguza democrasia na challenge kwa serikali, labda wapiga kura sasa waanze kufikiria kuchagua mtu atakae wapigania haki zao rather than mtu tu kwa sababu katoka kwao kama Edward Lowassa ambae ana faida yeyote bali hasara tu kwa taifa.
lastly mungu akupe nguvu ya kufuata ndoto yako
 
Mh., Mtoto

Mh,
sikukataa hili suala na ndio maana nikasema walikua hawana hela ya kuendelea na over ambitous projects zao kutokana na kwamba walikua hawana means ya ku-raise capital to go on with those projects na hii ni kwa sababu the people who could buy their goods at a price to allow them to continue were the west, na nikamaliza je nchi kama russia ambayo today imeshaanza kuspread his pipes of gas all over europe ingefanya hivi at the time uoni kwamba wangekuwa na hela ya ku-fund projects zao. vile vile nikasema mapatna wa Ujamaa walikua maskini kwa hivyo ikikua vigumu in the long run to survive especially when there is no trade movement, sasa ikabidi wachukue forceful measure in an attempt to challenge the capitalists societies yaani wawafikie kwa lazima na hapo ndipo u-dectator ulipoanza.

kuhusu mfano wa Lepcha people ilikua ni kujibu point yako ya kusema kwamba we are naturally born to compete kwa hivyo ujamaa auwezi fanya kazi ndio maana nikakupa mfano mbona kuna societies ambazo wanaishi bila competition so its not neccesarly in our nature to do so na mifano ni mingi tu

umechunguza ni jinsi gani mmoja anavyosoma na mwengine ana vyotumia muda wake kufukuzia sista duu au kwa nini tunatabia ya kuwapa majina wasomi wanaokwenda library kila siku alafu ndio watu hao hao asilimia kubwa wanafaulu sasa mtu ashike kitabu leo kesho mtiani aje na 90% huyo ndio genius na wachache wenye kipaji hicho vinginevyo atakae shika kitabu leo kesho mtihani tunajua hatma yake ni nini au?
ronaldo is a special kind of player sijakataa but he had to train hard to be where he is na he has put alot of commitment to his football hivi unaelewa kwamba hata bia agusi kwa sababu ya kulinda mwili wake, ndio maana nikasema genes play little, but mainly the reinforcement and the belief you give your self is very important
 

Mkuu thank you for your post. The point of putting something in public is so that people can scrutinize it until we can come up with something reasonable. I will try to answer you the best way i can.

1.Kusema watu at least wakifke form four is reasonable. The minimum education requirement for government is O Levels so what is the point of encouraging people to just finish at least standard seven as it stands now? Can you answer that? Secondly you talk about teachers and how they need to be more qualified, don't you think if the level of education is raised the teachers will be better qualified? Because the future teachers would have studied within the new system. Even now there are qualified teachers who even have degrees. Also you talk about many going to the private sector to study and then you talk about many Tanzanians being poor later on sasa nikueleweje? You say many Tanzanians so how many Tanzanians can afford the private schools? Because as you already said private means more expensive and in a country of poor people I don't know how you reached the conclusion that many prefer to seek their training in private schools wakati they can't even afford them. You also talk about our well educated going to other countries. The world is a free market and everybody goes where they think they will get more pay and career advancement. You want to tell me as we stand Tanzania can compete with Canada on those terms? Achana na Watanzania wanao kimbilia nje the country will be build by us who chose to stay back home. Sawa we need them but if they decide to do what can we do? Because many who leave is because of money so you expect our salaries to compete with those of Canada? I would like to here how you propose we improve the educational system. In your opinion what is the right way to go about this?

About the health sector. If you read carefully I said something about creating a national standard for which hospitals to operate in. That mean there services would be required to be of a certain standard and hence forth the government controls the pricing so that it is not unreasonable. One thing I might add here is that we need insurance policies for the poor which would help the average person get at least some help with their bills, I will explain the insurance later.
Unasema ni kukwepa responsibility for the government to get help from the private sector on health? Mkuu how do you expect a poor government to do all this? Kumbuka we are talking about Tanzania still in the developing stage. You can't say it's avoiding responsibility for the government to get some burden relief from the private sector. If so please tell me a country in which the government does everything. Please tell me how if you were a leader you would make sure the government can partake in everything. Kumbuka even the United State's health care system is not perfect ndiyo maana Obama ana pigania a new bill on health care.

Kama kuwa na wabunge wengi basi let's have a thousand members of parliament. From your statement you are implying that the more MP's the more democracy prevails. Are you sure about that? What I talked about is reducing the size of parliament not to eradicate it. But if you can give me a good reason why it is a bad idea I may be willing to change my view but siyo kuwa ita punguza democracy. Right now as our bunge is unaona kuna democracy? I would also like advise on how you think democracy can be improved in Tanzania since it's something I didn't talk about.

I value so much your views and opinions. I know I can't be right at everything and maybe there will be different opinions here and there. Again the point of debate is to get ideas so we can get a sound plan for our country. God bless you mkuu.
 

Mh., for staters i like making things clear if im misinterpreted, i never said students prefer private school, but the teachers at the moment would prefer private sector to the government schools due to pay difference i know this kwa sababu wakati nipo secondary Umbwe atukua na mwalimu wa biashara for almost a year and that is the entire 0'level na baada ya kuja alikuwa ni mmoja ambae anatakiwa afundishe madarasa yote uoni uhaba hapo tayari.

kitu kingine amna mtu ambae anaweza ku-sort social problems on his own because the're soo many ways(approaches to this problems) tackiling these problems require debates and reasoning among people and no state doesn't do this. opinions are there to differ and be solved, by compromises on the lines of the reasoning that the solution is going to benefit many.

1. kuhusu hoja yako ya kusema elimu hiwe eti ya sijui standard gani au form gani based on what the government think is limited in my opinion. na serikali bado kama ina lenga hapo yaani form four for most then is out of touch on what is required to build a succesful society. wakati bado tupo kwenye mstari huu we, uoni kama kitu akileti faida kinaitaji mabadiliko. first of all mtu anaemaliza form (average student) ana ubunifu wowote wa kumsaidia kima maisha all he/she has is the basic knowledge and understanding of things yaani kwa lugha ya mzungu bado ni simple therefore the government has to provide him with means of employment kitu ambacho atuna.
tena kuhusu suala la walimu nilichosema ukumbuke unavyotanua hizo shule unahitaji na walimu na elimu inavyozidi kuwa ya juu the more qualified they need to be that is the teachers. sasa based on the current market hao walimu wa juu especially wenye degree zao mtu aache kwenda private, au kutumumia elimu yake kwenye employment sector apelekee serikali ya tanzania kwa mshahara mbuzi.
aim of ya hoja ilikuwa ni kujibu hoja yako ya elimu ya kwamba lazima uangalie elimu ya form four ina msaidia mtu ku-achieve kitu gani bbada ya hapo. kwa sababu kitendo cha kumwambia mwanafunzi atakaemaliza form four kuwa umefikia kiwango ambacho serikali inakutambua kama we ni msomi ni kumwongopea. mwanafunzi wa form especially tanzania anajibu mtihani wa multiple chioces ata kujenga hoja bado ajui. ndio nikasema mbona una aim low. kitu kingine nilichosema vile hata hao wasomi tuliokuwa nao serikali aiwatumii ndio maana wengi uishia kuwa wanasiasa kwa faida zao na wengine ukimbilia nchi za nje kuboresha maisha yao na vile ni nchi ambazo zina heshimu elimu ya juu. sasa nchi kama kanada in university ngapi, watu wangapi wenye degrees na idadi ni kubwa kama utakuwa mkweli. lakini bado inachukua na wa kwetu ambao atuwatumii. ujengi nchi hivyo sasa uanua nchi hawa watu wanatakiwa wawepo nyumbani wawa elimishe wengine. hivyo serikali ilitakiwa iwalinde na mishahara ya kulizika kuliko wapuuzi wabunge wasio na faida. lazima uangalie cost ya kumpeleka mtu nje kusoma, mfano UK mi nilipo ina cost £11,000 per year for a laboratory degree, na £7000 for any other degree depending on what degree your own but a shortes degree is 3yrs. sasa profesa mmoja ambae yupo kanada ambae kaelimika nje ana uwezo wa ku-kufundisha how many graduates aka offer the same quality of education after all if he is good for canadians then he must be to good for us, to let him go. to keep them you need pay them as they deserve. mambo ni mengi wacha niishie hapa kwa hili.

kuhusu national health hii nitajibu haraka as i have other things to do in the computer, na allday i've been doing this. ila kesho tena nitaendelea nipo nntacheck responses but i have other things to do if im honest. haya unajua lets not jump into things that we just saw others are doing. can the government afford to cover 30million insurance a year based on our income au ndio nasema being unrealistic hiyo hela itatoka wapi ya kulipia. sisi si wamarekani where empolyment is better, the amount tax collected there is ridicolous 'Jaz and Beyonce' alone yearly tax is enough to build one hospital in tanznania lets think pls. haya bado kampuni zinazolipa tax two major congramarates tax is almost our yearly badget lets think things through first.

nisamehe ila kuna kitu nafanya na lazima ni malize either nntaendelea baadae nikirudi home au kesho tena lakini kwa leo siwezi type anymore. ila nipo nntakua nachungulia but i cant type anymore for today.
 

At the end of the mkuu, ujamaa has failed! I firmly believe ni kwa sababu ya nature ya mwanadamu. Kwanza we are competitive, pili we are selfish. Theory ya Darwin puts it best...the survival of the fittest. To be a survival u have to compete....thats the reality. Ujamaa una base katika survival of the colony/society. But in this world, as much as we may try to disguise it, we live as individuals, and die as individuals. Hii inatokana na uwezo wetu wa ku-reproduce. Narudia tena, ukiangalia katika viumbe vyenye mfumo huu - yani mchwa na nyuki, wao hawana uwezo wa ku-reproduce as individuals. Malkia tu ndo mwenye uwezo wa huo. Na hii inawapa a vested interest ya kuchunga colony kuliko kujichunga wao binafsi. Maana uhakika wa ku-pass on genes upo katika reproduction ya malkia. Hivyo basi wanakosa ile element ya individuality. Lakini wanyama wengine wote wako selfish, kutokana na ulazima wa ku-mate na ku-pass on genes zao.
Hivyo, no one ever puts forward the interest of a society. When i say no one...i mean the majority. Maana utaanze tena kutoa example ya mtu mmoja mmoja. Mtu ana-sacrifice only pale anapokuwa na much at stake. I can make that case for Nyerere, Mandela, etc. What was at stake was their life time work. Wamegombania uhuru muda wote huo, alafu waje waharibu vyote kisa kung'ang'ania madaraka na mali?! But otherwise, ujamaa ni failure from the word go, especially when practiced in a large scale.

P.S. Sorry for the long silence. Nipo kwenye mitihani!
Mwanafalsafa ntakujibu hopefully by monday. Ishu yako nzito, sio ya kujibu haraka haraka.
 

Mh., mtoto narudia tena kama ukunielewa i never said nasaport Ujamaa, my arguments were purely giving reasons why Ujamma never succeeded and the firece opposition it encountered on his time. the same conditons would appear again if it was to be reintroduced........that is the reality.

therefore all i said was what if, there was no opposition from the west, what if half the continet support it, what if Ujamaa had enough nations to trade with not just poor nations but rich too, before i go on let me guess hapo ulipo tayari umeshaanza kusema u-trade nini na we ni Ujamaa. Ok uko nchi ambayo ina baridi auna natural gas, how are people supposed to warm themselves. unaweza weka kuni kwenye nyumba lakini uwezi weka kuni kwenye ofisi especially kama ofisi zenyewe ni magorofa its just not practicle and if you force it, u're risking others lives it is hazardous. therefore u have to trade anyhow under Ujamaa realistically, to meet certain needs of your society. sasa kama dunia aifanyi biashara na wewe na marafiki zako wachache wapo kwenye same dillema how do you get out of it. ndio chanzo kikubwa cha ku-fail kwa Ujamaa i hope umenielewa. na sababu yenyewe western walikua na system yao tayari ya ubepari, ambayo ina work on inequality, therefore they did not want to see a rival system succeed anywhere for their people to compare.

vile nchi kama China na Russia, the political structure is still much Ujamaa its only they have let people trade as indivuduals especially the elite families of China and also welcomed trade from outside, this approach has satisfied the west , the idea is to make people not depending on the government purely for support im talking about creating jobs, this is to say somehow your responsible for your fate. again look at Russia, when the soviet broke alot of individuals benefitted fron the oil rigs that were not used under the soviet, the mineral it had in the soil etc etc etc, as a result the Oligarch cropped up from those benefits. Russia began expanding its gas pipes outside the Balkans as far as Turkey. But since Putin came back most Oligarch have had to return those assets back in the hands of the Russian authorities, Abromovich and co, no longer own those assets anymore however the government paid them almost fairly to aquire them back. sasa mtu kama 'Mikhail Khodorkovsky' alie kuwa mmbishi na kutaka kupambana na Putin aliwashia moto wa Tax na kuishia kunyan'ganywa without pay.

haya sasa angalia all Putin has done is copying the Chinese surface capitalism and allowing foreign investment again this is somehow telling ordinary russians ur somehow responsible for ur fates, if ur too poor dont blame it on me. and this is what the west wants taking the idea from peoples minds that the government is supposed to sort every problems you have. however Russian government trades in all those assets they have, the political structure is still much Ujamaa, apart from England most European government are in good dialogue with Russia actually there's a gas pipe now heading to germany, yet russia politics is still much Ujamaa. but the current system of making people be aware that they're somehow responsible suits the west apart from the US and Britian but that is more on the lines of being super power rather than economics.

look at countries like Saudi Arabia, Brunei and many middle East countries then you'll find all those systems are almost Ujamaa most investors are outsiders but the government is responsible for most part again it suits the west because with private sector is saying to people you have responsibilty of your own fate somehow but the government provides alot to those unlucky with the national assets which are controlled by the state.

mkuu kitu cha mwisho mifano yako ya wadudu kama mchwa na nyuki inatofauti kubwa sana na binadamu mchwa ajui ku-reason wala nyuki, there life is based on what needs to be done for their survival. kwa hivyo maisha yao popote duniani ni sawa tu. well binadamu ana jua ku-reason ndio tofauti yetu na viumbe vingine. kwenye ku-reason yatatoka maswali na atu-depend na queen bee whatsoever we are responsible for our actions. but then society dictates our actions, mwizi in the west anfungwa tu, mwizi nchi za kiislam anakatwa mkono, na nadhani mwizi wa kukatwa mkono inabidi afikirie mara mbili kabla ajaenda kuiba au we unaonaje hapo. therefore most actions in society reflect their moral code, laws of punishment, utamaduni, religious ideology, political system(ushangai kwa nini watanzania wana tamaa ya kupata hela ya haraka popote walipo) na kuiba kwao, kama wanawedha get away with it they feel no guilty.

lastly what makes you believe the Darwin theory of evolution is right i think religious leaders would have something to say about that. your doing ur exams now i do not know at what level assuming its a degree of some sort, remember the aim is to expand ur reasoning capacity, and not just take anything because you have been taught at Uni, reason things along the lines of what u believe in critisize along those lines, analyze things not through books but through your eyes that is the whole point of being educated, apart from that good-luck with your exams

ps: sorry kama utaiona ndefu but these things are not as they seem in the face value like i always say investigate before you comment.

note: this is not to say i support socialism but only reasons why it never flourished
 
Juma what do you think we need in order to move forward? What is really keeping us behind? Is it the system? Is it the leaders? Is it the citizens? In your opinion what is the core of us not moving forward?
 
Juma what do you think we need in order to move forward? What is really keeping us behind? Is it the system? Is it the leaders? Is it the citizens? In your opinion what is the core of us not moving forward?

these things im my opinion are purely due to ignorance in general, all the above you mentioned are partly responsble but the main one to me personally is going without a sense of direction, not having plans. since the leaders are responsible for our directions therefore i'll point my finger at them. they need to approach things realistically, lets stop fantasizing about who we are, and look at ourselves as who we really are. then we'll find we have a mountain to climb, it doesnt mean we'll never reach the summit, but we have along climb ahead. since every journey starts with a single step we need to start now.
 
What amazes I, is how the world media hasn't highlighted the fact that, despite their labelling Iranians as 'evil axis' and such, Iranians are actually showing the world that they do actually exercise democracy ... while not condoning the Iranian govt for attempting to shut down news and dampen democracy on the move, it occurs to me that, demonstrations in the west have often also had police and govt brutality of some sort... all in all, western media should stop propaganda style of highlighting what also happens often in the in their own countries as 'abomination and portrayal of evil axis' and highlight how Iran and Iranians have showed their democracy at work ... they voted, and now they question the legitimacy of their votes' count - democratically

bun hypocrites, bun... yuh cyaa fool we
 

Kwanza sorry, kama i made it sound as if you are in support of it. I know hapa ni tunafunguana mawazo na sio kuweka firm believes (although i have put mine).
Now, I totally get ur point on the trade part. Na ni point nzuri sana. Sasa umesema trading is a reality, even the socialists have to trade. Right!
Is trading a capitalistic element? Kwa nini nakuuliza hivi?- trading is the exchange of goods. Sasa imagine katika supply, kama kutakuwa na supplier wengi wa a good(which is likely), wewe as a socialist (sorry!!) utatumia kigezo gani kuchagua mmoja? Tuchukue mfano wako wa kuni. So utakuta unaweza kununua the same types (homogeneous product) of kuni. Wewe (buyer) umekuwa na choice ya supplier(seller). How would you make that choice assuming that the medium of exchange is money? Please correct me if am wrong, si utamchagua yule anayeuza kwa bei rahisi? Now, imagine wewe ni mmoja wa hao suppliers/sellers. Kama wote mko bei sawa, huoni itakuwa katika nature yenu kuanza kuingia katika ushindani wa bei (au mwingine wowote) kwa kusudi la kukuuza hizo kuni? Taratibu element ya capitalism inaanza kuingia hapo. Now, turn this into large scale economy - what do you get?

Pili, umesema hivi "vile nchi kama China na Russia, the political structure is still much Ujamaa". Ujamaa ni nini? Is it a political structure in itself au ni jinsi economy ilivyokuwa organised? How can you be a political socialist alone, without practicing it economically? Unapoongelea Ujamaa political structure as in China and Russia, sio unatoa mfano wa single party states?

Tatu, ninapotumia mifano ya nyuki na mchwa, ninajaribu kukuonyesha hiyo tofauti uliyoitamka mwenyewe kati yetu na wao. Kumbuka, binadamu ni mnyama, na hivyo first instict yake ni survival, na ndio maana tuna hii element ya Fear...Fright, Fight, Flight response blah blah blah. My point ni kukuonyesha kuwa huo uwezo wetu wa ku-reason ndo unatupa hiyo element ya capitalism au ushindani. (I think it's necessary ku-link the two maana in reality capitalism ni ushindani na ujamaa ni ushirikiano). Ukitumia hiyo ability yako ya ku-reason kutatua hayo maswali kuhusu competing suppliers niliyokuuliza hapo juu, nadhani utaona jinsi hiyo ability ya ku-reason pushes you into thinking competitivly, or in a more capitalistic mind-set 'how to get rid of your competitor'!
 

Mh., Mtoto mi ni kama wewe nipo JF pia kufungua macho na kujifunza nisipo elewa, sasa basi aina maana ya kwa sababu na aangalia view fulani natetea hoja fulani ndio hivyo, ni kama mwanasheria na mteja wake sheria inasema kila binadamu ana haki ya kutetewa kabla ajaukumiwa. hivyo kama loya wake either nimeshaona ona na makosa au-ana lakini lazima ni mtendee haki yake kialali kutumia vipengele vya hiyo kesi.

Mimi kama realist najaribu ku-look at the factors based on the evidence na si kujiamulia ni hivi kwa sababu nimeamua hiwe hivyo.


What are the elements of capitalism, a capital society functions on an open market allowing competition from all sorts, capital society is based on do it yourself. so the nature of the structure allows competition to appear, sio competition iliyokua ya kupangwa no the nature of the structure creates competition. Mfano huo wa kuni kwenye Ujamaa the government dictates what price is set kwa hivyo no competition will ever occur kwenye same business within Ujamaa. therefore utaenda kununua hizo kuni kwenye duka kwa sababu ni nafuu kwako mchukuzi au labda mwenye duka lingine ni la rafiki, ndugu etc ndio ana own. the individual choice is purely based on the individual reasoning which vendor he chooses to support, but price has nothing to do with the final decision. so mfano wako naona ukuuangalia vizuri Mkuu wakati unautia kwenye ujamaa.

Haya turudi kwenye Capitalism unadai kwamba ni nature yetu ku-compete based on what? how?
l dont believe in this part i know ya kwamba its society that shapes us and we do not shape society. Chukulia We umejanga kibanda cha ice cream mbagala. Ikiwa we ni wa kwanza kwa maana hiyo we vilevile utakua pia ni mpanga bei ya Ice cream. Labda mtu mwingine kaona mbagala watoto wengi nayeye ana-amua kufungua cha kwake kwa bei zako. kwa sababu biashara ya Ice-Cream bado inafaida. mwenendo huu ukiendelea kila mtu anafungua kibanda nadhani sasa wasambazaji mtakua wengi kuliko demand. sasa hapo ndipo ushindani utapoanza kumbuka aikuwa ni-a yako kama mmbunifu wa biashara kuja kwa nia ya kushindina mazingira yaliyo jileta na ugombaniaji ya wateja umesababisha. kwa mtaji huu si wewe una natural of competition circumstances played the role of creating competition. Now, turn this into large scale economy - what do you get?

What does a single party do when it rules, it has no oppostion, it dictates what ought to be done in the laws, control the trade, the army, in short it makes decision as one which every body else as to follow regardless, it dictates what the paper say and what cant be said kwanini ushangai North Korea she still has China and Russia has its closest Allies. Ndio maana nikasema jaribu interpret things Mkuu. au labda ulitaka niseme the governments ruling ideologies still reflects those of socialism.

Lastly try to understand other people lines of reasoning, extremists view are a result of passion rather than reason ability, example the same capitalism that made you make up your mind already, offer handouts to its citizens are they obliged to do in the capital society think before you comment. or you'll find a way to defend social services handouts as not being part of practising socialism in the the most rich capital societies.

i debate a white man ways of corrupting minds through his propaganda.
 
Last edited by a moderator:
Authors of heavily-quoted poll changed their conclusion to support validity of Ahmadinejad landslide
June 18, 2009



[ame=http://www.youtube.com/watch?v=0j0iP_wFs1g]YouTube - Does U.S. poll rule out fraud in Iran?[/ame]

Western media, along with thousands of Iranians protesting around the world, have formed a rough consensus over the six days since Iran's Presidential Election that Ahmadinejad's victory was the result of widespread fraud. However, a recent Op-Ed in the Washington Post references a rare public opinion poll in suggesting that the election may indeed have been fair. While there is not enough information to determine whether or not the election was rigged, this poll certainly doesn't rule out the possibility. If only because the poll's authors concluded prior to the election that the very same data predicted a relatively close vote. Yet today, those same authors are claiming that their figures demonstrate the validity of Ahmadinejad's landslide victory.

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=RCF3d-8AAtU"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]​
 

Mfano wangu nimeuangalia, na sidhani kama una kosa. Wewe umetoa jibu kwa kusema kuwa choice will depend on the individual reasoning. Hizo individual reasonings umesema ni kama duka la ndugu, rafiki, etc. Sasa tukubalieni moja, huwezi kuanzisha biashara kwa kutegemea ndugu as wanunuzi. Unajenga biashara kutokana na wateja. Tuondoe price competition maana umesema imekuwa set na govt. Kuna vitu vingine vingi ambavyo watu wana-compete on kwa kusudi la kupata wateja. Kwa mfano, better looking environment/mandhari (eg: show rooms), better service (kupokelewa ukiingia dukani, etc), kuweka fani dukani, kuweka wauza sura, nk. My point, popote pale panapokuwa na biashara, lazima kuwe na competition. It's just there, and there is no way around it. Kama unaona ipo, i'm open to hearing them.

Set prices zinaleta kudorora kwa service na innovation. R & D is one of the most expensive sectors katika biashara, na cost yake inakuwa passed to consumers. Kwa nini basi consumer a-accept kulipa zaidi? Ni kwa sababu ya wanapata a superior product.

Haya turudi kwenye Capitalism unadai kwamba ni nature yetu ku-compete based on what? how?
As i said earlier, based on the theory of evolution. Kama wewe hukubaliani na hiyo theory, hayo ni yako. It's there in existance, you only have to open your eyes to see it. Ukienda kwenye mbuga za wanyama ipo. Ukija kwenye everyday life ipo. It exists in school, it exist between companies, it exists in everything we do, including kupata mchumba, nk. We are built to compete. Sasa watu ambao wanadhani Darwin aliandika upuuzi na kusifiwa bure, hilo ni juu yao.
Ulisema earlier kuwa religious leaders would have something to say about that. Hapa hatuongelei mwanadamu ametoka wapi, tunaongelea aspect ya competition, na survival, which is a major part of that theory.

Katika mfano wako, umetoa facts zinazoangalia upande mmoja. Kwanza umesema wa pili kufungua ni kwa sababu aliona supply haitoshi. Ni yupi alifungua wakati demand na supply zipo equal? Aliyefungua baada ya hapo, ndio aliyeleta competition na sio circumstances. Maana hilo duka halijatokea tu, bali kuna mtu aliyekaa na kufikiri kuwa ataweza kwenda ku-compete na hao wengine. I would think mfano wako sio mzuri. I get your point, lakini mfano wako hauipeleki point golini.

Mkuu China na Russia are NK's closest allies, because they share common features in the international community:
1. They are all single-party states
2. They had alligned themselves together in the Korean war in the 50s,
3. They had practiced socialism together in the past. 2 failed, one is acting in a defiant manner.
4. They boarder each other, so in reality, China and Russia will be affected by NK's actions.
wewe umechagua fact moja ya u-socialism, na kuiweka mezani. Typical lawyering skill...hehehe!

I dont regard capitalism as an extreme view, it simply reflects human nature. Hizo governments zinazotoa handouts while preaching capitalism are acting/performing their responsibility. If you expect a government not to act in time of need, when do you propose it should act? There were mistakes made, the government moves in to correct them. It may correct them further by implementing laws to govern such situations. Hiyo ndio kazi ya serikali katika system.
 

Why U.S worry about Iran?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…