Mwaka 2004 USA goverment iligundua kwamba World Bank iko Corrupt sana na nitatoa mfano baadae wakaanzisha ili MCC. Tofauti yake ni kwamba pesa hazipiti mikononi mwa nchi husika na kiongozi wao ni lazima aeleze kinaga ubaga jinsi gani alivyotumia pesa. Tanzania wakati wa Bush alipata $600M na Obama kaongeza $400M hizi pesa zinatumika vizuri sana. Zime saidia kuweka umeme vijijini, Fund neti za mbu, HIV Hospital na kujenga barabara. Contractors wanaofanya kazi kwenye hii program hawazunguswi wala kuombwa rushwa bali wanatakiwa kuonyesha ni kazi gani imefanyika. US hawana mchezo kiongozi wa hii Fund anajua vijiji kuliko hata mawaziri wa Tanzania.
Utaratibu wa World Bank ni wa wala rushwa na wanafikiria kuubadilisha!. Wana toa tender za maendeleo mfano barabara halafu badala ya kulipa Contractors moja kwa moja wanawapa pesa serikali kufanya ukaguzi kabla pesa haijalipwa. Contractors wanaofanya kazi za world bank wakimaliza kazi wanaenda kudai pesa yao kwenye wizara za ujenzi mfano. Tatizo ni kwamba pesa hizo zinachukua hadi miezi sita kutoka na maafisa wanahitaji 10% kwenye pesa hiyo. Tender inafanyika kwa uangalizi wa World Bank lakini pesa unalipwa na maafisa wabinafsi wa Kitanzania wanaotaka rushwa.
World Bank wanafanya hivi kwasababu hao maofisa wa World Bank pia ni mafisadi sana na njia pekee ya kuhakikisha wanafanya ufisadi ni kuweka huu utaratibu. Nilibaahatika kwenye makao makuu ya World Bank pale Washington DC Jan 2007 kwenye mkutano wa wa African Growth and Opportunity Act (AGOA) ambao unatakiwa kusaidia wakulima na wafanya biashara ndogondogo Africa. Nilishangazwa kuona project karibu zote zinafanywa na wahindi pale!! na zile fund wanajaribu kutafuta mbinu za kuzitumia kabla hazijachukuliwa. wamewekana wenyewe tu! mimi nikajitoa maana ilikuwa kama wanataka kudanganya kwamba zile project ni zetu kwa watu pale World Bank ili wasiulizwe je inakuaje hakuna Waafrica kwenye Project ya Africa!!!. World Bank ni wezi na wanajaribu kutoa pesa bila kueleza itatumika vipi wakijua fika kwamba nchi nyingi za Africa ni wala rushwa na wenyewe watapata mwanga wa kuiba hapa.
MCC Fund inaonyesha pesa ya misaada hazitakiwi kwenda kwenye Budget badala yake ziende kwenye miradi moja kwa moja maana pesa nyingi za misaada hazitumiki kama zilivyopangiwa. MCC imefanya vitu vingi kwa pesa ndogo kuliko World Bank kwasababu pesa ya MCC haiendi kwenye rushwa. Ndiyo Tanzania itataka kupangia pesa watumie vipi lakini hii siyo pesa ya Tanzania ni pesa za Wathamini wa nje na wametoa jasho lao kusaidia masikini nakuleta maendeleo kwa Watanzania. Tanzania itaamua kutumia Budget yake ya makusanyo ya kodi wanavyotaka lakini pesa za msaada tumeshaanga kuweka mikakati kuhakikisha pesa zinaenda moja kwa moja kwenye project. Sasa hivi kuna Contractors wengi sana Tanzania hawajalipwa na hizo fund za World Bank kwasababu viongozi wa Tanzania wanataka 10%. Kuna report ya MCC inaandaliwa na ikikamilika US hawatatoa pesa kwa World Bank kwani MCC imefanikiwa zaidi na hawana sababu ya ku report kwa Tanzania.
Agalia huu mchezo wa World Bank hapa halafu uniambie pesa inatumiaka wapi
Tanzania gets 489.9million/- to fight poverty
BY CORRESPONDENT | 12th December 2012
The government has signed a loan agreement worth 489.9m/- with the World Bank to support its efforts of enhancing country's economic growth and poverty reduction.
The loan signed through International Development Association (IDA) has been channelled to the Urban Local Government Strengthening Programme (ULGSP), the Third Additional Financing Agriculture Sector Development Project (ASDP) and the Third Additional Financing for Accelerated Food Security Project (AFSP).
"If the loan is used as intended, it will bring the target areas massive success and reduce the country's dependence on costly imported goods and aid from donors," Finance Minister William Mgimwa said during the signing ceremony with the World Bank represented by Philippe Dongier, its Country Director for Tanzania, Uganda and Burundi.
The Minister said the loan aims at enabling farmers to have better access to, and use of agricultural knowledge, technologies, marketing systems and infrastructure; promoting private agricultural investment based on an improved regulatory and policy environment.
It also aims at contributing to higher food production and productivity in targeted areas by providing agricultural input vouchers to eligible farmers to purchase seeds and fertiliser, carrying out awareness and information campaign programme relating to national agricultural voucher scheme including provision of training to village voucher committees.
Meanwhile the World Bank's country director said the three areas of agreements signed complement other bank's support to Tanzania's long-term vision for socio-economic transformation to achieve a middle income country status while also reducing poverty.
He said the loan will improve institutional performance for urban service delivery.
"Tanzania is urbanising rapidly, the percentage of people living in urban areas has increased from six to 24 percent from 1967 to 2005 and over half of the population is expected to be in urban areas by 2030," explained Dongier.
Dongier also noted that Tanzania is the first beneficiary of the programme in Africa, explaining that if the implementation succeeds it will be easier for other banks and development stakeholders to support other needy countries in the continent.
The 18 town and municipal councils that will benefit from the programme include Tabora, Morogoro, Iringa, Sumbawanga, Songea, Moshi, Lindi, Bukoba, Musoma, Singinda, Babati, Korogwe, Kibaha, Masasi, Njombe, Mpanda, Bariadi and Geita.
SOURCE: THE GUARDIAN