Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Kama ulikua hujui basi nakujuza,Iran alisha wahi kuishusha Drone ya US technical bila kuipiga,na ikatua chini salama kabisa kisha wazee wa kazi wakaanza kuistudy.
Unajua kwa Nini nimetumia lugha ngeni naogopa ban! Ila ujue tu USA ni USA achana nao wao Wana Sera zao za kufanya uchumi wao ukue na wananchi wao wapate maji Safi, umeme na huduma Bora Wala siyo kosa kwao ... Wewe Sasa wa madongo kwinama utakuwa omba omba kwao kila siku...think for your country ladyKujiandikisha lugha za watu hakukupunguzii shida pambana na hali yako period
Sasa hiyo lugha ngeni imekusaida nini mwanamama wewe? Kwanza una quote na kuanfika vitu ambavyo havihusiani na nilichokiandika.Unajua kwa Nini nimetumia lugha ngeni naogopa ban! Ila ujue tu USA ni USA achana nao wao Wana Sera zao za kufanya uchumi wao ukue na wananchi wao wapate maji Safi, umeme na huduma Bora Wala siyo kosa kwao ... Wewe Sasa wa madongo kwinama utakuwa omba omba kwao kila siku...think for your country lady
Message sent...kumbe umeelewa angalia usikate shanga unapokatikia usiku mwema😃😃Sasa hiyo lugha ngeni imekusaida nini mwanamama wewe? Kwanza una quote na kuanfika vitu ambavyo havihusiani na nilichokiandika.
Hebu subiri MP iishe upunguze stress
Kushindana na punguani na mimi nitageuka kuwa punguani bibi lala salamaMessage sent...kumbe umeelewa angalia usikate shanga unapokatikia usiku mwema😃😃
Nahisi ulichoelewa ni kinyume chake, sema hii lugha ya malikia huwa inanichanganya sana... Russia, the "mighty", anatumia Iranian satellites?
US officials concerned as Russia launches Iranian satellite
Media caption,
Watch: Moment Russia launches Iranian satellite into space
Russia has successfully launched an Iranian satellite into orbit amid US concerns over its planned purpose.
The satellite, called Khayyam, was launched from the Russian-leased Baikonur launch facility in Kazakhstan.
Iran has said it will be used for environmental monitoring and will remain under Tehran's control.
But last week, US officials told the Washington Post that they feared the satellite could be used by Moscow to spy on troop movements in Ukraine.
Russia has struggled to achieve military objectives in Ukraine and the officials alleged that Moscow's space agency, Roscosmos, told Tehran that it planned to maintain control over the satellite for "several months or longer" to assist with its war effort.
The unnamed sources added that the satellite could give Iran and Russia "unprecedented capabilities" to almost continuously monitor troop movements and bases.
Satellite haiko hivyo katika ufanyaji kazi wakeSi ya Iran tena ngoja iingie anga la Ukraine igeuzwe mvua ya mabatibati na waya kushuka ardhini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app