Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekuja kuwawasisitiza viongozi wa Kenya wajitahidi katika uchaguzi ujao ili kuepusha kuzalisha wakimbizi na vifo. Kenya haina uwezo au mchango wowote kwenye kumaliza vita vya Ethiopia.Anthony Blinken anatarajiwa kuzungumza na rais Kenyatta kuhusu vita vinavyoendelea Ethiopia pamoja na mambo mengine. Malazy huwa mnapuuzwa ni kama hampo duniani. Poleni zenu.
Nyie si ndio super middlemen in Africa lazima wawaone Madalali kwanza😀😀😀Akihitaji kuijadili Afrika lazima aje kwa baba mwenye nyumba kwanza.....
Mkuu mbona Agenda iko wazi na wengine tunaiona tu.Akihitaji kuijadili Afrika lazima aje kwa baba mwenye nyumba kwanza.....
Kujisifu kuwa rafiki wa wamarekani ni dalili moja wapo pia ya kuwa na virusi vinavyosbabisha ukosefu wa akili mwilini (Ukokimwi).
Blinken amekuja kuona taratibu za wakenya kuwekewa raisi kibaraka wa marekani kama zimekamilika au la .
Acheni kulala amkeni wakenya
Kuna tatizo hapo nadhani hujaliona....,
Yaani kuwaona wengine superior na wewe inferior kwamba unahitaji their approval ni tatizo ambalo sio lako pekee bali a good number of developing countries..., no wonder we are still being marginalized, and this will continue until the day that we will be emancipated from mental slavery...
Waone hawa. Yaani mnarukia tu moja kwa moja kwa comments, kisha mnamwaga povu lote hili? Bila hata kusoma taarifa kwa umakini au hata kuangalia tu tarehe ya habari zenyewe? Ziara ya Anthony Bliken nchini Kenya ilikuwa ya mwaka jana nyie vinyangarika.Mkuu mbona Agenda iko wazi na wengine tunaiona tu.
USA wanaogopa mvutano wa URUTO Usije kuleta machafuko, ni hayo tu.
Mkuu mbona Agenda iko wazi na wengine tunaiona tu.
USA wanaogopa mvutano wa URUTO Usije kuleta machafuko, ni hayo tu.
Kwa kawaida kwenye siasa zaDunia kila mtu anaangalia maslahi yake, US anaangalia usalama wa uwekezaji wake Kenya wakati wa change of GUARDS, Maslahi yake yanalindwaje? US wana maslahi makubwa sana Kenya, Na usisahau walioko madarakani ni Democrats, washirika wake Obama Mkenya mwenzenu.Kwa hivyo mvutano wetu wa kisiasa unasimamisha dunia mpaka baba lao Marekani inambidi aje mapema kuhakikisha hatuvutani.
Kwa kawaida kwenye siasa zaDunia kila mtu anaangalia maslahi yake, US anaangalia usalama wa uwekezaji wake Kenya wakati wa change of GUARDS, Maslahi yake yanalindwaje? US wana maslahi makubwa sana Kenya, Na usisahau walioko madarakani ni Democrats, washirika wake Obama Mkenya mwenzenu.
Kwa uwekezaji we mwenyewe unajua Tanzania ni kitu gani, Kama sio hawa corrupt leaders tungekuwa mbali sana,Safi sana ndio mkome, sisi sio level yenu, dunia imewekeza huku kwa hivyo tukilumbuna mnasimamisha vyote tusuluhishe kwanza.
So what has changed kuhusu nilichokiongea ?Waone hawa. Yaani mnarukia tu moja kwa moja kwa comments, kisha mnamwaga povu lote hili? Bila hata kusoma taarifa kwa umakini au hata kuangalia tu tarehe ya habari zenyewe? Ziara ya Anthony Bliken nchini Kenya ilikuwa ya mwaka jana nyie vinyangarika.