US Singer & Actress Whitney Houston Dies Aged 48

Haijawahi kutokea na sijui kama atatokea guru mwenye haiba na sauti kama yake. Nae alikuwa anapenda vidogodogo, nway mungu kampenda zaidi. Kweli binadamu hakika tutarudi kwa udongo. Mungu amuweke mahala pema peponi. Amen.
 
Kuna habari kuwa, juu ya chumba alichokuwa Whitney Houston, kuna mpangaji amewaambia polisi kuwa alisikia sauti ya vishindo mara mbili mfululizo na sauti ya juu ya mwanamme, and that was shortly before she was found dead, so hapo ina maanisha there was some sort of a fight kwenye room,na mtu aliyekuwa kwenye room sijui ni nani, Ray J alisharuka futi mia, licha ya kwamba kuna rafiki yake aliyedai kuwa yeye ndo aliyemkuta bidada akiwa ameshafariki, taarifa zikabadilika kuwa ni body guard ndie aliyemkuta akiwa ameshafariki, ukishaona watu wanajiweka mbali na sehemu ya tukio ujuwe there might be some foul plays, that is based on my experience kwenye issues kama hizi.

Tusubiri matokeo ya autopsy na huo uchunguzi wa polisi.

RIP Whitney Houston.
 
...rumours na counter rumours zitajitokeza kwa wingi mpaka coroner atapotoa final report, ila kuna hii kidogo inaniingia akilini;


haka ka Bobbi Kristina nako maskini...so sad...i hope hakatopotelea huko huko..maana skendeli
za drugs zilishaanza kumuandama naye




 
Last edited by a moderator:

Bobby:
You gotta go through

Whitney:
The fire

Bobby:
The rain

Whitney:
The rain

Bobby:
The joy

Whitney:
Take the joy and endure the pain

Bobby:
Never give in

Whitney:
Give in

Bobby:
Don't give up

Whitney:
Don't give up

Whitney and Bobby:
They can try but they'll never ever break my love
 
Last edited by a moderator:
'We shall not all sleep, but we shall all be changed, in a moment, in the twinkling of an eye......' (Cor 15: 51-53)

RIP Whitney.
 
............I'm in shock, can't believe this!! It's sad that the drugs consumed her life. I''ll always love you Whitney.
 

Atajulikana tu, wenzetu wako juu
 
nasubiri kumsikia Clive Davis atasemaje...
nahisi atalia saana....

whitney had the best voice ever.....so sad....

yes, best voice ever!!! unajua dunia hii faida ya WH ilikuwa kubwa, ni kubwa kuliko hasara ya yy kutumia madawa ya kulevya! ndio amekufa lakini amefanya jambo duniani.

I wonder why in the past three weeks I have been listening to her music!
 
THE BOARD GUARD na soundtrack ya I will always love you jamani.
Rest in peace mama.
Though it is a sad, very sad news.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…